Salaam,
Chama kikubwa Cha upinzani ambacho killipata kura za urais zaidi ya 40% mwaka 2015 ambacho ni chama kikuu Cha upinzani Hadi sasa kutokuwepo kwenye uchaguzi sababu ya serikali ya chama Cha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude...
Kama huijui dunia unaweza kudhani Wanasiasa wanafaidi sana wao na familia zao
Hakuna kazi yenye risk kubwa kama ya Siasa ikifuatiwa na Mitume na Manabii wa zama hizi za mwisho wa dunia na namba 3...
Tunaweza kuona ni swala dogo ila ni kwa sababu hatujasoma historia za watawala Mbali mbali huku Duniani.
Binafisi nashindwa kumtenganisha Mheshimiwa na watekaji, kuna anacho kijua kuhusu...
Ntaandika kwa uchache Ila kwa kutumia falsafa .
Kwanza nakemea mambo yote yanayoendelea katika nchi yetu kuanzia kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, kushambuliwa kwa Father Kitima...
Wakuu,
Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda.
Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa...
Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.
Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Tanzania Tanzania TARURA, Injinia Victor Seff ameeleza kuwa kukamilika kwa Mradi wa Uboreshaji wa miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya pili TACTIC...
Huu ni Ushauri tu Huyu Mzee hatakiwi kua Mikononi mwa Jeshi la hao wahuni wa Tanzania.
Wakimchukua, watamfanya asionekane, alafu wataanza kutoa matamko kama wendawazimu japo hata matamko yao...
Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha...
Kuteka, kupoteza, kuua, kutisha, kunyanyasa, kudhalilisha, kupokea rushwa, kuvunja sheria, kujitwalia mamalaka, kufanya watakavyo ndiyo unavyoweza kuelezea jeshi la polisi kwa sasa.
Huwa...
Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili.
Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu.
Hii...
Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!!
Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake
Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa...
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa...
Asalam Aleykum wana jukwaa.
Leo nimeona niongelee hili suala la baadhi ya viongozi ambao kwa upande wangu nawaona kama hawana uwezo na wengi wana nafasi walizo nazo huenda kutokana na kubebwa na...
Baraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa...
Hizi haki anazolilia Prince Charles ingekuwa hapa Tanzania Chadema wangeongea sana
Haki za Wajukuu
Harry yuko mubashara BBC anahojiwa
Ahsanteni sana 😁🇹🇿
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya,
" Tanzania katika miaka 25 ijayo...
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia...
Tarehe 14/2/2018 Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) walitoa Waraka uliokuwa maalumu kwa ajili ya Kwaresima na Sikukuu ya Pasaka. Waraka huo ulisainiwa na Maaskofu 35 toka Tanzania nzima ulikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.