Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani...
Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa...
Jamani ,kuna haja kubwa raia wa Tanzania wangepitia mafunzo, hata ya kijeshi, hata mgambo ,kuondoa uzombi, ubwege, uoga, kama nchi zingine zinavyofanya.
Inashangaza, na kusikitisha watekaji...
Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana...
Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi...
Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka amesema Tuzo za Samia Kalamu Awards zimeanzishwa baada ya TCRA kubaini mapungufu katika maudhui...
Huko tuendako kwenye kura za maoni Wazee wa CCM watahitajika sana kutoa hekima zao kwani sioni atakayekubali kukatwa kiwepesi na kizembe
Chadema haipo lakini tutasema afadhali ingekuwepo maana...
Sijui huu uoga ni wa nini
Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu
CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu...
Hii Game Imekuwa Chafu Sana… Who’s Gonna Clean Up the Mess?
Kuna wakati moyo unachoka. Kuna wakati macho yanakataa kulala. Kuna wakati maneno yanakataa kunyamaza hata kama ulimi umebanwa. Hii ni...
Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive.
Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms...
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote...
Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa.
Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao.
Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa...
Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za...
Nauliza tu maana hawa akina Newton, Pambalu, Twaha nk wote ni team Tundu Lisu lialia
Lakini wapambe wa ule upande wa Mwamba hawa akina Lucas Mwashambwa, Mrema, Ntobi nk wanapeta tu
Au upande wa...
Swala la watu wasiojulikana lilipoanza kusikika nchini ilionekana kuwa ni changamoto ambayo kwa uimara wa intelijensia yetu, ingepata mwarobaini ndani ya muda mfupi. Katika hali ya kushangaza...
Wakuu,
Jaji Warioba amesema viongozi wa dini wanaweza kusaidia katika kufanya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa kisiasa nchini, ambapo watakuwa wanazungumza na kushauri nini kifanyike.
Akiongeza...
Wanabodi,
Kwa muda mrefu, viongozi wa Chadema, wanachama, mashabiki, wafuasi na wao, wamekuwa wakitawala mijadala humu jf, hadi kufikia kipindi baadhi ya watu kuidhania labda Chadema ina share...
Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake...
Wanabodi
Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea...