Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My Take Kabla ya Chadomo na chawa wao Kununa na kutoa povu wanatakiwa kuelewa kwamba Tanzania ya Samia inaongoza kwenye mambo yafuatayo; 1.Tanzania ni namba Moja Kwa Demokrasia Afrika Mashariki...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Inadaiwa bado anaonekana mtaani kwake na jana inahisiwa kaenda kanisani maana ni msabato.
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele. Ila mapambano...
2 Reactions
14 Replies
673 Views
Nilishangaa sana,askofu alivyotoa jicho la furaha wakati anapokea fuko la pesa. Makamu alisema kabisa kwamba fuba lile lilitoka kwa raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Nikamuona bwana...
0 Reactions
2 Replies
299 Views
HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR Anaandika, Robert...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
KWa kupokea kwenu hiyo zawadi sisi tuna jipa maswali yafuatayo:- 1. Vipi mtatetea tena haki..? 2. Mtakemea kama mwanzo..? 3. Kwanini mkapokea..? 4. Ukimkataa shetani huwa unamkataa na mambo...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za...
2 Reactions
7 Replies
547 Views
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake. Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Laban Kihongosi amewataka Wazazi Mkoani humo kuwaepusha na kuwakanya Vijana wao kujiepusha na wanasiasa wanaotaka kuwatumia kuvuruga na kuharibu amani ya Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za...
1 Reactions
5 Replies
402 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonya watendaji na viongozi wake wanaohujumu mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani. Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
0 Reactions
3 Replies
449 Views
Jana nimetembelea ile beach aiseee nimeshangaa sana Kwani yamebaki magofu tu ukiondoa ile Dynasty Hata Sebule ya Ununio iliyomilikiwa na Maokola Majogo Waziri mstaafu imebomolewa Naibu Meya na...
1 Reactions
22 Replies
988 Views
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye...
42 Reactions
230 Replies
12K Views
Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha...
0 Reactions
4 Replies
629 Views
Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa...
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu...
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Back
Top Bottom