Mzee Warioba na aheshimiwe na watu wote

Mzee Warioba na aheshimiwe na watu wote

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.

Huyu mzee hapindishi maneno.

Binafsi namuheshimu sana.

Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
 
Mtu akiongea unachotaka kusikia lazima utampenda tuu
 
Huyo kinyago anayeua watu toka visiwani anaweza kumuua huyu mzee. Ukweli ni kwamba mabeyo alifanya kosa kubwa kuruhusu nchi hii kuingia utumwa wa kiarabu kukubali kutawaliwa mgeni huyu mbaya. Ulaaniwe popote ulipo mabeyo ulaaniwe shetani Pepo la kitumwa toka visiwani ushuhudie kifo Cha aibu cha Abduli na wanao wengine. Uje ushuhudie sehemu mbaya ya maumivu kabla uhai wako kukutoka wote tuseme ameni
 
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.

Huyu mzee hapindishi maneno.

Binafsi namuheshimu sana.

Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
Babu yetu na ni hazina yetu. Anaishi katika haki, upendo na amani. Angalieni hazina yetu babu yetu anavyocheza na wajukuu zake.

Hana shida na mtu. Hajui kukasirika.
 
Huyo kinyago anayeua watu toka visiwani anaweza kumuua huyu mzee. Ukweli ni kwamba mabeyo alifanya kosa kubwa kuruhusu nchi hii kuingia utumwa wa kiarabu kukubali kutawaliwa mgeni huyu mbaya. Ulaaniwe popote ulipo mabeyo ulaaniwe shetani Pepo la kitumwa toka visiwani ushuhudie kifo Cha aibu cha Abduli na wanao wengine. Uje ushuhudie sehemu mbaya ya maumivu kabla uhai wako kukutoka wote tuseme ameni
That was the right thing to do. Tofauti na hivyo ilikuwa kuiingiza nchi kwenye constitutional crisis. Upo uwezekano mkubwa kwamba wewe ungekuwa mmoja wa watu wa kwanza kupiga kelele.

Mtu aliyetusababishia yote haya ni JPM. Alikosea sana kumpendekeza huyo kilaza kuwa running mate wake. Laiti angejua mtu aliyekuwa anampendekeza automatically angekuja kuwa mrithi wake, sina shaka kwamba JPM angefanya uamuzi tofauti na uamuzi alioufanya!
 
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.

Huyu mzee hapindishi maneno.

Binafsi namuheshimu sana.

Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
Mzee warioba ni mzalendo Sana aiseh
 
Thanks Thanks
 
That was the right thing to do. Tofauti na hivyo ilikuwa kuiingiza nchi kwenye constitutional crisis. Upo uwezekano mkubwa kwamba wewe ungekuwa mmoja wa watu wa kwanza kupiga kelele.

Mtu aliyetusababishia yote haya ni JPM. Alikosea sana kumpendekeza huyo kilaza kuwa running mate wake. Laiti angejua mtu aliyekuwa anampendekeza automatically angekuja kuwa mrithi wake, sina shaka kwamba JPM angefanya uamuzi tofauti na uamuzi alioufanya!
Una uhakika ni JPM
 
Kama Samia angekuwa na hekima japo kidogo, angepuuza matakwa ya mashetani wamzungukao, wanaomshauri kwa hila nyingi. Samia ni vema angeamua kumaliza kipindi cha mpito, na kupumzika. Nafasi ya Urais, kwa kuzingatia uwezo wake, ni kubwa mno kwake. Wanaomzunguka kwa kuujua uwezo wake, wanamzungusha kadiri wapendavyo, na kumdidimiza kwenye uchafu wa kila aina.
 
Nuanga mkono hoja
 
Back
Top Bottom