Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za...
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Mparuka Hashim Mtopela akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi.
Kupata matukio...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Hamjambo wote!
Bado ninaendelea kujiuguza lakini naendelea vizuri.
Miaka kadhaa iliyopita wakati wa JPM niliwahi kuandika kuwa anapotawala Kiongozi Mkristo nchi inakuwa kwenye Hali ngumu huku...
Mara nyingi sana huyu jamaa anakuja na threads za kuchochea migongano na kuondoa umoja katika siasa.
Hata suala la Uongozi wa nchi hulichukulia kwa mtizamo huo makusudi ili sasa madhehebu...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Manzese, Boniface Shauritanga, amesema vijana wanahitaji kuungwa mkono ili kuhakikisha kila tukio la chama linafanikiwa. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa serikali kuangalia upya...
Salaam!
Maendeleo ni kupiga hatua moja ndogo kwenda hatua ya juu Bora zaidi, sasa tujiulize,
Sanduku la kura likinajisiwa, akaingia kiongozi Mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi, Nini...
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (kulia katikati) akizungumza na maafisa itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi pamoja na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini...
Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini...
Mawakili, Peter Kibatala na Jebra Kambole wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika kesi za uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni wamelalamikia kauli zilizotolewa na...
Taarifa zilizoibuliwa leo nje ya Mahakama kutoka kwa Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba mbovu wa Bandari , wamemtaja wazi wazi Mkuu wa Mkoa huo Juma Homera kwamba hafai kuongoza Mkoa wa Mbeya...
Demokrasia hasa hii ya vyama vingi sio utamaduni mkongwe katika uongozi wa nchi nyingi duniani. Kihistoria mfumo mkongwe wa uongozi ni mfumo wa kifalme. Katika mfumo huu wakuu wa nchi hawapati...
1. Amani pasipo haki, Ni wapi umeiona?,
Kwa hadithi sikumbuki, Ajabu'li kuliona,
Walo juu mishikaki, wa chini hakuna dona,
Haki Ikikosekana, Amani I Mashakani
2. Wanahubiri Usawa, wanaiba...
Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza
Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam.
Katika ziara hiyo ameshiriki...
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.