Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania hatujui kudai haki zetu wala haki zenyewe hatuzijui. Kama Gen Z tu walizuia mswada usisainiwe na rais je ingekuwaje raila angewekwa mahabusu? Tanzania ni wajinga wote na nadhani kitendo...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao. Nipende kuwaasa kuwa...
1 Reactions
20 Replies
742 Views
Habari zenu wadau! Leo nimewakumbuka sana wangu wapare kama kina mshana jr ambao kwa hulka yao ni wapenda kesi yaani wanaweza kuuza kiwanja ili tu washinde kesi ya kuibiwa jogoo.Kwa wapare...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani. Na Bwana Yesu...
3 Reactions
7 Replies
951 Views
Madaraka hulevya, na madaraka makubwa hulevya zaidi. Bahati mbaya ulimwenguni pote, madaraka ya kisiasa ndiyo madaraka Makuu kuliko madaraka mengine yoyote yale! Wanasiasa wamepewa madaraka ya...
6 Reactions
14 Replies
540 Views
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, matukio kadhaa ya kutisha yameibuka nchini Tanzania, ambayo yanaonyesha hali halisi ya siasa na usalama. Kukamatwa Tundu Lissu, kuumizwa kwa Padre...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini. Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi??? Kama kweli unalipenda Taifa na...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV. Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi. Kuna habari za...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
Tanzania wamesheherekea kweli? Hata hapa Jf sijaona shamrashamra Mlale unono 😁
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Mparuka Hashim Mtopela akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi. Kupata matukio...
2 Reactions
7 Replies
926 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Hamjambo wote! Bado ninaendelea kujiuguza lakini naendelea vizuri. Miaka kadhaa iliyopita wakati wa JPM niliwahi kuandika kuwa anapotawala Kiongozi Mkristo nchi inakuwa kwenye Hali ngumu huku...
30 Reactions
106 Replies
4K Views
Mara nyingi sana huyu jamaa anakuja na threads za kuchochea migongano na kuondoa umoja katika siasa. Hata suala la Uongozi wa nchi hulichukulia kwa mtizamo huo makusudi ili sasa madhehebu...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Manzese, Boniface Shauritanga, amesema vijana wanahitaji kuungwa mkono ili kuhakikisha kila tukio la chama linafanikiwa. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia...
55 Reactions
446 Replies
25K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa serikali kuangalia upya...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Salaam! Maendeleo ni kupiga hatua moja ndogo kwenda hatua ya juu Bora zaidi, sasa tujiulize, Sanduku la kura likinajisiwa, akaingia kiongozi Mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi, Nini...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (kulia katikati) akizungumza na maafisa itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi pamoja na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Back
Top Bottom