Tabia ya kuumiza, kutesa na kuua watu wasiokuwa na hatia ni chukizo kwa Muumba wetu. Maasi yanapozidi, Mungu hutoa adhabu kali kwa hilo Taifa.
Kwa sasa ni kawaida sana kusikia mtu katekwa...
Wakuu,
Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀
Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa...
Samia the bible in ReV: 16:15
It says :
““Listen! I am coming like a thief! Happy is he who stays awake and guards his clothes, so that he will not walk around naked and be ashamed in public!””...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepitisha kwa kishindo Bajeti ya Ofisi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi bilioni 224.98 kwa ajili...
Habari kubwa ni kwamba Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba George Ruhoro akiwa Bungeni Dodoma amewasemea wananchi Zaid ya 1,200 walioguswa na mradi wa Tembo Nickel
Ruhoro ameishukuru Serikali...
Yo, let me speak this loud,
Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!!
We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma!
Mimi nina Masters...
Nimeona kwenye habari za magazetini kupitia Channel 10 ... Gazeti la RAI linadai kwamba mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini yanakuja na yatafanyika mara baada ya Uchaguzi wa CCM ambao...
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina...
1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.
2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema upo utaratibu upande wa jeshi la magereza , ndugu jamaa, rafiki anapotaka Kwenda kumuona maabusi au mfungwa zipo taratibu zinasimamiwa...
Nawasalimu wote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Sina namna ya kumfikia rais lakini naamini anaweza akapitia hapa akapata ushauri utakao msaidia au hata wasaidizi wake huenda mkaona na...
Nawakumbusha tu wafuasi wa vyama vya siasa wasome Katiba zao kama zina ahadi ya Uzima wa milele
Yoshua akasema “ chagua hivi Leo utayemtumikia mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wa mbinguni”...
Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka...
Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano...
Unaweza kufanya jambo ukidhani litakusaidia chochote, Kumbe ndio unajimaliza.
Nchini Tanzania shambulio la kupangwa ambalo lililenga kuua Katibu wa TEC, Dkt Kitima limesababisha Mjadala kabambe...
Ili kuepuka maafa ambayo mazingira yake yanatengenezwa kwa kasi na watawala na Serikali, ikihusisha:
1. Utekaji wa wanaokemea udhulumaji wa haki za Wananchi
2. Upotezwaji wa wanaokosoa...
Watanzania msimchague mtu kwasababu ameongeza mishahara katika kipindi hiki cha uchaguzi, kwanini siku zote hakuongeza mishara hiyo ?
Chagueni mtu anaye maanisha kuwasaidia kweli kweli kiasi...
Kuna Watu wanadhani wakati wa Mei mosi ni muda wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa ngazi zote
Ukweli ni kuwa Mei mosi hutangazwa nyongeza ya Kima cha Chini tu na hata Leo Rais Samia...
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind...
Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa
Wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.