Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unaweza kufanya jambo ukidhani litakusaidia chochote, Kumbe ndio unajimaliza. Nchini Tanzania shambulio la kupangwa ambalo lililenga kuua Katibu wa TEC, Dkt Kitima limesababisha Mjadala kabambe...
24 Reactions
70 Replies
4K Views
Ili kuepuka maafa ambayo mazingira yake yanatengenezwa kwa kasi na watawala na Serikali, ikihusisha: 1. Utekaji wa wanaokemea udhulumaji wa haki za Wananchi 2. Upotezwaji wa wanaokosoa...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Watanzania msimchague mtu kwasababu ameongeza mishahara katika kipindi hiki cha uchaguzi, kwanini siku zote hakuongeza mishara hiyo ? Chagueni mtu anaye maanisha kuwasaidia kweli kweli kiasi...
2 Reactions
4 Replies
433 Views
Kuna Watu wanadhani wakati wa Mei mosi ni muda wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa ngazi zote Ukweli ni kuwa Mei mosi hutangazwa nyongeza ya Kima cha Chini tu na hata Leo Rais Samia...
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua...
1 Reactions
14 Replies
743 Views
1. Bilal bin Rabah (RA): Aliteswa kwa kulazwa juu ya mchanga wa jua kali huku akiwekewa jiwe kubwa kifuani, lakini aliendelea kusema "Ahad, Ahad" (Mmoja, Mmoja). 2. Ammar bin Yasir na wazazi wake...
2 Reactions
6 Replies
598 Views
Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
15 Reactions
90 Replies
7K Views
https://www.youtube.com/shorts/no982OoARYw Tunaambiwa "tuelimike tusiwe wasomi"
1 Reactions
2 Replies
356 Views
Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo...
21 Reactions
92 Replies
4K Views
Hapo nyuma kidogo palisemwa kuwa Taifa lilipofikia linahitaji rais dikteta. Dikteta akaingia na akatawala kidikteta kweli kweli Upinzani makaminywa mazaga Vyombo vya habari vikaminywa mazaga...
0 Reactions
9 Replies
569 Views
Ndio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?
2 Reactions
6 Replies
611 Views
Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli...
24 Reactions
81 Replies
3K Views
Hii ndio njia pekee na dawa ya Mua40 Itakayokomesha hicho kikundi cha kigaidi kisichojulikana na vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania. Kinachoteka watu mchana-usiku kupoteza na kuua raia Nchini...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha...
4 Reactions
167 Replies
7K Views
Hivi who tf aliwaambia kuwa viongozi wa dini hawaruhusiwi kujihusisha na siasa? Mbona mnatunga sheria kichwani kwenu alafu mnaanza ku-suppress watu wa Mungu as if wao sio citizens? This is some...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao. Ndio maana bado...
0 Reactions
98 Replies
3K Views
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika...
15 Reactions
67 Replies
2K Views
Ndugu zangu hapa nilipo sielewi napitia kipindi kigumu sana. Ipo hivi... Mimi ni mtu niliye sensitive sana mtu anapoonewa au kuona mtu anadhurumiwa haki yake hii kitu inaniumizaga sana...
15 Reactions
38 Replies
1K Views
Nimekutana na hii Article iliyoandikwa mwaka 2015 na Jean Paul Romeo Rugero kwenye mtandao wa HIMA-TUTSI EMPIRE | African Agenda – A new perspective on Africa imenisisimua. Na hasa ni kuhusu hawa...
3 Reactions
76 Replies
14K Views
Back
Top Bottom