Makusanyo vituo vya kutolea huduma za afya yaongezeka

Makusanyo vituo vya kutolea huduma za afya yaongezeka

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA

Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita ambapo makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 54.2 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi bilioni 118.9 mwaka 2023/2024
 

Attachments

  • FB_IMG_1742624170666.jpg
    FB_IMG_1742624170666.jpg
    78.8 KB · Views: 31
Mabango ya kumtangaza raisi barabarani pia yameongezeka
 
Sio jambo la kufurahia ni upumbavu mtupu maana yake watanzania wengi ni wagonjwa hasa yasiyoambukiza je nguvu kazi ya kuinua uchumi ipo?
 
Back
Top Bottom