Lindi na Mtwara kwanini ni Maskini? Wana Bahari, Gesi na Korosho na ilitoa Rais wa awamu ya 3!

Siyo Lindi na Mtwara tu.
Tanzania japokuwa ina utajiri wa rasilimali za asili lakini ni nchi maskini kwa sana kwa sababu ya uongozi mbovu. Uongozi mbovu umeshindwa kuchagiza watu ili kupata rasilimali watu ya uhakika(human capital) ili iweze kuzitumia rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo na unafuu kimaisha.
Kama leo mbunge Gwajima ambaye ni sehemu ya uongozi kwa ngazi yake anaishauri serikali kuacha kutumia kutumia vifaa vitakavorahisisha utendaji wa kazi,..unategemea nini? Unategemea kiongozi kama huyu atawahamasisha watu waachane na jembe la mkono ambalo halijawahi kumsaidia mkulima wa Tanzania kujikwamua?
 
Kwakweli sio Lindi na Mtwara tu bali watanganyika na wazanzibari wengi ni masikini wa kutupwa.

Watanzania ndio matajiri, hawa wanaoipambania Tanzania, wanalinda muungano kwa nguvu zote ndio watanzania, wana colonize Tanganyika na Zanzibar.

Watanzania ni wachache sana na wana maslahi na Tanzania
 
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho

Wana Chokaa ya aina mbalimbali

Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi

Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF

Kwanini Mikoa hii bado ni Maskini?

Kwako The Big Show

Jumaa Kareem 😄
wewe tangu lini mtu kuanzia asubuhi anapiga story tu, kufuga busha tu akisubiria mikorosho itoe maua na matunda izae apate hela kidogo ya mwaka asubiri hadi izae mwakani tena? bdala ya kuzalisha pesa nje ya hizo korosho? watu wanawaza uchawi uchawi tu muda wote, ukifanya maendeleo unahofia usalama wako, mtaani kutishiana kulogana tu kila mtu mbabe, watu wanakimbia kwenda kuishi maeneo mengine. waacheni wabaki na hali zao hizohizo. shule hawataki, vitoto vinafundishwa ngono vidogo, hakuna lolote.
 
😂😂😂
 
Kwakweli sio Lindi na Mtwara tu bali wa Tanganyika na wa Zanzibari wengi ni masikini wa kutupwa.

Watanzania ndio matajiri, hawa wanaoipambania Tanzania, wanalinda muungano kwa nguvu zote ndio watanzania, wana colonize Tanganyika na Zanzibar.

Watanzania ni wachache sana wenye maslahi nayo.
Hali siyo nzuri kabisa kwa watu maeneo mbalimbali, Tanzania.
Na isitoshe,sijui mleta mada alitaka kumaanisha nini aliposema hayo maeneo bado ni maskini japo rais Mkapa alitokea maeneo hayo....,kwamba alitaka Mkapa asifuate miongozo ya urais ili awape upendeleo maalum watu wa eneo hilo kwa vile naye ni wa huko?
Kama mantiki yake ilikuwa ni hiyo,basi tuna kazi ya ziada katka kupiga vita ukabila,ukanda na ubinafsi tukiwa katika uongozi.
 
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho

Wana Chokaa ya aina mbalimbali

Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi

Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF

Kwanini Mikoa hii bado ni Maskini?

Kwako The Big Show

Jumaa Kareem 😄
Kwa takwimu gani..au hisia zako tu na habari za vijiwe vya kahawa.
Takwimu zilizopo mkoa maskini ni Kagera
 
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho

Wana Chokaa ya aina mbalimbali

Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi

Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF

Kwanini Mikoa hii bado ni Maskini?

Kwako The Big Show

Jumaa Kareem 😄
Sisi tunajua Kagera ndio maskini labda na Lindi ila Mtwara watake radhi.
 
Aidha, naendelea kupeleka lawama zangu kwa serikali,mikoa ya kusini wanapambana sana ila in turn hawapati sapoti kama ile wanayopata wananchi wa mikoa mingine,maendeleo katika eneo fulani huletwa na jitihada za wenyeji zikichagizwa na msaada mkubwa kutoka serikalini kwa kuwajengea miundo mbinu.

Leo hii ukienda kusini miundo mbinu ni ya hovyo kabisa sasa hapo mnategemea mkulima wa ufuta,nazi,mbaazi,korosho na mihogo ataweza kusafirisha mazao yake kupeleka sokoni ambapo atauza kwa bei nzuri? Hatoweza mwishowe atauza kwa bei ya kutupa na kuendelea kubaki katika lindi la umasikini.

Rai:serikali iboreshe miundo mbinu, ielekeze miradi ya kimaendeleo na uwekezaji katika mikoa ya kusini,fursa kusini ni nyingi,iwekeze ili kuwakwamua ndugu zetu.
 
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho

Wana Chokaa ya aina mbalimbali

Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi

Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF

Kwanini Mikoa hii bado ni Maskini?

Kwako The Big Show

Jumaa Kareem 😄
Tanzania kwa nini ni masikini, na ina madini ikiwemo tanzanite inayopatikana only in TZ, mbuga za wanyama, craters, mlima Kilimanjaro, Mazima makuu, Bandari kadhaa, fertile land, mifugo ya kutosha, hatuna vita, Vyura wa Kihansi etc..!!??? Majibu ya swali hili ndo uyapeleke huko kusini..!!
 
Aidha, naendelea kupeleka lawama zangu kwa serikali,mikoa ya kusini wanapambana sana ila in turn hawapati sapoti kama ile wanayopata wananchi wa mikoa mingine,maendeleo katika eneo fulani huletwa na jitihada za wenyeji zikichagizwa na msaada mkubwa kutoka serikalini kwa kuwajengea miundo mbinu.

Leo hii ukienda kusini miundo mbinu ni ya hovyo kabisa sasa hapo mnategemea mkulima wa ufuta,nazi,mbaazi,korosho na mihogo ataweza kusafirisha mazao yake kupeleka sokoni ambapo atauza kwa bei nzuri? Hatoweza mwishowe atauza kwa bei ya kutupa na kuendelea kubaki katika lindi la umasikini.

Rai:serikali iboreshe miundo mbinu, ielekeze miradi ya kimaendeleo na uwekezaji katika mikoa ya kusini,fursa kusini ni nyingi,iwekeze ili kuwakwamua ndugu zetu.
Tukiwaambia tuungane kumpambania Kusini yetu hamtaki.

Huwa naona watu wa Kanda ya Ziwa,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini ndio wanapambania kwao ila nyie wa huko mnaona kama Dar ndio kwenu.
 
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho

Wana Chokaa ya aina mbalimbali

Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi

Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF

Kwanini Mikoa hii bado ni Maskini?

Kwako The Big Show

Jumaa Kareem
Kwa sababu think tank ya nchi imejaa watu wanaowaza chini tu.
 
Sababu moja ya Tanzania kuwa masikini ni kuangalia sehemu / mikoa kama sehemu tofauti wakati the Whole is better / Stronger than the Parts..

Ni sawasawa wewe unajiuliza kwanini mdomo wangu unapauka wakati chakula chote na vinywaji ndio vinapitia hapo ?
 
Huko serikali ingejenga viwanda vikubwa vya kuchakata mazao ya huko na yawe kwa viwango vya kimataifa watu wauze bei nzuri, reli ingejengwa kurahisisha usafirishaji wa mashine, malighafi na hizo bidhaa kwenda na kutoka bandarini ambapo bidhaa nyingine zingeuzwa Dar es salaam kwenye soko kubwa, kujengwe vyuo vya kilimo sababu ndio shughuli kubwa huko ambapo wanafunzi wangejiajiri na kuajiriwa kwenye hivyo viwanda pamoja na mashamba hivyo uzalishaji ungekua bora zaidi na zaidi.

Hii ndio njia pekee ya kuwakomboa wana kusini.
 
wewe tangu lini mtu kuanzia asubuhi anapiga story tu, kufuga busha tu akisubiria mikorosho itoe maua na matunda izae apate hela kidogo ya mwaka asubiri hadi izae mwakani tena? bdala ya kuzalisha pesa nje ya hizo korosho? watu wanawaza uchawi uchawi tu muda wote, ukifanya maendeleo unahofia usalama wako, mtaani kutishiana kulogana tu kila mtu mbabe, watu wanakimbia kwenda kuishi maeneo mengine. waacheni wabaki na hali zao hizohizo. shule hawataki, vitoto vinafundishwa ngono vidogo, hakuna lolote.
nimecheka sana....mada ifungwe
 
Namkumbukaga mama mmoja kipindi hicho barabara ya sekenke ndo inajengwa muda mrefu basi watu tulikua tukifika pale palikua na shuguli si mchezo hawa madereva malori walikua wanaweza kaa hata wiki tatu mpaka wapande wamalize ile sekenke.

Sasa yule mama huwa namkumbuka wakati tumeshuka tunatelemka kwenda kulisubiri gari bondeni Aliongea kauli moja kuwa Unaona wakazi wa eneo hili walivo masikini nikasema ndio naona Ila wamezungukwa na utajiri kwenye milima hii unayoiona ina madini mengi ya dhahabu.

Hii nchi wangepewa wazungu wangeigeuza paradise ya duniani.

Kuna historia pia nilisoma yule aliyegundua mgodi wa almasi mwadui wafanyakazi wake wa kiafrika walikua wanaishi maisha mazuri sana watoto wanasoma vizuri, Jamaa alikua na huruma sana na wafanyakazi wake na ali plani kuigeuza mwadui kuwa peponi Ila ndo hivo alipata majanga ya figisu na wakubwa huko soko la almasi na mambo yakaharibika.

Nb; Tusije tukategemea wazungu au wakuja waje wabadilishe maisha yetu ni Ngumu sana kama sisi wenyewe hatujaamua kubadilika
 
Back
Top Bottom