Uchaguzi Mkuu wa 2025 bado unasubiri rasmi kutangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, lakini tayari joto la kisiasa limeanza kupanda nchini Tanzania. Vyama vya siasa vimeanza kuelekeza ajenda...
Nafahamu ili ufanye mkutano wa siasa kuna utaratibu lazima uzingatiwe na kufuatwa
Hii mikutano ya Chadema huko Bukoba na Tanga ya kuhamasisha No reform ina vibali vya kikanuni?
Nimekaa pale 😁
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA...
Tanzania kwa sasa hakuna haki wala amani, wizi serikalini umeshamili isije kuwa mnawakopesha watu binafsi kwa mgongo wa watanzania maskini maana kama kuna wizi serikalini watakopa kwa jina la...
Wakati huo huo Marekani ikilaani kitendo cha serikali ya shirikisho la Ujerumani kukiorodhesha chama hicho chenye nguvu zaidi Ujerumani cha AfD kuwa ni chama chenye misimamo mkali kilicho hatarini...
Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election
Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
Edward Kinabo alikuwa ndiye Afisa na Mratibu wa Mawasiliano wa Mwenyekiti mtetezi wa Chadema mh Mbowe kwenye Uchaguzi wa January 2025
Hivi Chadema wana nafasi ya Rais wa Jimbo?
Nasubiri majibu...
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!
We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu...
Lucy Mrimi, dada wa Daniel Chonchorio Nyamhanga, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye hajulikani alipo mpaka muda huu ameiomba serikali kuingilia kati juhudi za...
Sijui kwanini Kigaila anadanganya umma kwamba hawana pa kwenda wakati kila kitu kiko wazi.
Tangazeni Kuhamia CCM kama mlivyoelekezwa, Kigugumizi kinatoka wapi?
Cheo ni dhamana ya muda mfupi...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu
"Baadhi ya...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni...
Sioni sababu ya CHADEMA kufurahia nchi kuzuiliwa misaada ya Wafadhili
Hili ni swala nyeti kuliko Siasa zetu za rejareja Kwahiyo tuwe pamoja kupambana na hawa Wazungu
Papa Leo XIV: Amani Iwe...
https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk
Anasema;
• Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na...
Wakuu,
Zoezi la kujiandikisha halijaisha!
Kuna wale watu ambao walikuwa hawajajiandikisha kwenye awamu ya kwanza zoezi la kusajili wapiga kura.
Tume kwa sasa ipo kwenye awamu ya pili ya zoezi...
Ndugu,
Katika kutafakari tunayoyaona na kusikia ndani ta Tanzania na majibu au kejeli zinazosemwa tunaona Tanzania hatuna serikali bali tuna madalali.
Kwanza imekuwaje UVCCM kujiunga na mashoga...
MKE WA RAIS WA MSUMBIJI AVUTIWA NA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Gueta Selemane Chapo, ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Baada ya Bunge la Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu ukiukwaji wa haki za Binadamu Nchini Tanzania ikiwemo mashtaka yanayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kutoa azimio...