Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,782
- 861,252
1. Taarifa mapema kuhusu kukamatwa ni muhimu sana.
2. Kamwe usiamini majibu ya polisi.
3. Ukiambiwa jidhamini uondoke na uko peke yako usikubali, wanakusainisha umejidhamini ukishasaini dhamana wanakukamata, tukija tutaambiwa huyu alijidhamini kaondoka.