Hakuna jambo lolote kubwa la kustaajabisha ambalo limefanywa na Rais wa awamu ya 1,2,3,4,5 na huyu wa awamu ya 6 ambaye mnapigia promo ya 5 tena.
Si kwa ubaya au kuleta fedha ila huo ndio ukweli...
Serikali inajenga Chuo Kikuu cha Nyuki mkoani Singida, lengo ni kutoa elimu ya sayansi ya masuala ya nyuki ambayo itasaidia watu, pia lengo lingine ni kumuenzi Liti Kidanka “Malkia wa Nyuki”...
Na hii ni pamoja na hujuma za makusudi kutoka kwa wanachama, wapambe na viongozi wa mgombea wa kambi pinzani watakaokuwemo uongozini.
Infact, bila umakini kwenye hili, chadema will be no more in...
Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amesema Watanzania walipaswa kusikia chama hicho kitanyakua majimbo mangapi katika uchaguzi wa...
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe amesisitiza kuwa ajenda ya mageuzi ni mali ya taifa zima na haipaswi kumilikiwa na chama chochote...
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.
Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama...
Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
Watanzania wanatakiwa wajuez Watu wachafu wanakawaida ya kuvaa mavazi masafi.
Makonda aliumiza Clouds Media
Makonda aliumiza wafanyabiashara wengi sana kwa Kutumia Jina la Magufuli.
Makonda...
Ni dhahiri sasa Chadema wameelewa kuna tofauti kati ya Mtu binafsi na Chama anachotumikia
Kwamba maamuzi ya chama ni ya taasisi na siyo mtu binafsi
Wanachadema wamefurika nyumbani kwa Shujaa...
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....
Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira...
Nchi ipo katikakati ya majonzi. Viongozi wa dini wanavamiwa, wanataka kuuwawa wengine wanatishiwa maisha
Wanaharakati wanateswa, wanapotezwa na wengine wanatupwa jera kinachobaki ni familia...
Kwa Wale Wageni wa Jf, Ama labda na wale Wasahaulifu, Pamoja na Chawa Wapya wasiojua lolote, Kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa wa 2014, Chadema ilishinda Vijiji vyote kwenye Jimbo la Chato...
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM...
Habari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi...
https://youtu.be/y9z3-27Xmto?si=M-gCdeXeZoxzZogf
Ni kwa Tanzania kukiuka mikataba na matamko ya kimataifa kuhusu haki za binadamu, Uhuru na demokrasia..
Wazitaka nchi wanachama wao kuiwekea...
Ney wa Mitego sasa ni rasmi kaamua kuachana na chadema. Kila binadamu ana wakati wa kung'amua mambo ya hovyo halafu akatae kutumika vibaya.
Ney amewahi kuimba nyimbo nyingi lakini chadema...
Kutokana na vitendo vya kuvamia, kuteka na kuumiza watu hasa wakosoaji wa serikali kushamiri, kwa sasa wakati umefika ili kila Kiongozi mpigania uhuru wa kweli wa Nchi kulindwa na kujilinda kwa...
Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta...
Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani...
Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya.
Kwa jinsi hawa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.