Ndg kwa ufupi niliachaga kitambo mambo ya siasa za nchi hii.
Kwa nini.
1. Siasa ni kwa ajili ya viongozi na familia zao.
2. Siasa ni kwa ajili ya matajiri vs wanasiasa.
3. Maskini kaa sibiri...
Katika miaka minne ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeonyesha kwa vitendo kwamba uchumi imara si nadharia tu, bali ni matokeo ya maamuzi thabiti, sera zenye mwelekeo, na...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya...
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema
Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko...
Baba Mtakatifu Dr Robert Prevost -PhD (Papa Leo XIV) ni raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
IPO...
Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji.
Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing)...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni makini kabisa yasiotia shaka hivyo wewe mchangiaji uache jazba na kejeli unapochangia uzi huu
Ndiyo mashabiki wake wengi hawana shughuli rasmi za kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko...
Hakuna farasi, mbwa, polisi na mambo kama hayo?
: Ok kumbe leo kuna kesi ya wazanzibar kupinga mgaanyo wa mali za chadema
https://www.youtube.com/watch?v=Do9923cZGMg
Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati...
Kwa kifupi sana niwasihi ndugu zangu Watanzania tusihadaike na Siasa za kishamba na kizamani za G55 ya Chadema
Haya wanayoyafanya Mrema, Mwalimu na Kigaila yalishafanywa na Dr Slaa hadi...
Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya...
Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili...
CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza...
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa...
Kazi ya Chadema ya kusambaza jambo Tukufu la No Reform No Election imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi.
Imekuwa rahisi kwa vile karibu kila kijiji cha Tanzania...
Huwa nasikia watu wakijifanya kummiss jiwe Dkt John Pombe Magufuli na kusahau kuwa wakati wake ulipita kitambo.
Kwa wanaomjua vizuri, hakuna haja ya kummiss kwa vile tunaye mheshimiwa rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.