Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania tuna safari ndefu sana
0 Reactions
2 Replies
336 Views
BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo...
27 Reactions
140 Replies
12K Views
Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833. Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha...
14 Reactions
126 Replies
7K Views
Ukweli ndio huo. Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia. Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa...
33 Reactions
95 Replies
4K Views
Kupitia mchoro huu wa Masoud Kipanya, hii ndiyo hali halisi CHADEMA wanapitia, je joka litatoka salama kweli? Mwalimu Boniface Jacob ametafsiri hivi; 1.Joka la Kaki - hiki ni chama cha siasa...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Kubagaza ni kusemea taifa lako sifa mbaya na mbovu ambazo hazina uhalisia sahihi, kwenda kuzungumza mambo ambayo mengine yapo mahakamani, na mengine ambayo yapo chini ya upelelezi hili si jambo...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
MRADI MKUBWA WA MAJENGO YA WASIMAMIZI WA HUDUMA ZA MAJI JIMBONI BIHARAMULO. Kukamilika kwa mradi mkubwa wa majengo ya kisasa na yenye samani nzuri ndani ni kukamilika kwa ndoto ya mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Wakuu, Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing Angalia azimio namba F2 hapa:-...
11 Reactions
204 Replies
10K Views
Wakuu ! Wasalaam wote nawasalimu kwa jina la Jamiiforums mahali ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi mitazamo na mawazo yetu. Shukrani zimwendee Kaka Maxence Melo kwa kutuleta hapa pamoja...
5 Reactions
20 Replies
929 Views
Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema. Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni...
6 Reactions
6 Replies
756 Views
Hizi ni taarifa za siri kutoka kwa Polisi wenye uzalendo Mkoani Mbeya ambao kamwe hawapendezwi na yanayoendelea dhidi ya watetezi wa haki za binadamu. Mdude bado yupo hai na damu nyingi...
67 Reactions
222 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030...
22 Reactions
220 Replies
20K Views
Namuona Mbowe kama kinara wa G55 ya 1970s Mzee Tabu Mangala Tuzidi kuiombea Chadema na G55 ambao hawana ukwasi wa kuanzisha Chama chao zaidi ya kujibanza pale Bahari motors Mlale unono 😁😁
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Wakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi. Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza...
9 Reactions
19 Replies
934 Views
Mnamo Mei 13, 2025, Bunge la Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026, yenye jumla ya shilingi trilioni 2.439...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Wakuu, Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi? Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa...
5 Reactions
143 Replies
9K Views
Rais Samia anaamini kwenye uhuru wa vyombo vya habari lakini anaamini kwenye kuambiwa vitu vizuri na anavyo vipenda! Vyombo vya habari hili viwe huru havipaswi kuambiwa jinsi ya kuparua na...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom