Tatizo Bongo watu wazuri wana banwa na chawa au mafisudi au wanasiasa na kuishia kuwa nyenzi za watu haoChenge na Tibaijuka si ndo mafisadi na majizi makuu ya nchi, Lissu aliwapopoa wazi wazi Bungeni wakishuhudia.
Migiro alikua pale UN, alifanya nn cha maana? Hata kuikomboa nchi yake ktk dimbwi la umaskini wa fikra chanya kashindwa.
Lissu ni yess, tatizo nchi yake haitaki watu km yeye, ndo anaishia huko Ukonga, 😢😢😢
Tatizo ni NJAA. Inayo tokana na UMASKINI wa kutupwa. Hivyo tyuuh.Tatizo Bongo watu wazuri wana banwa na chawa au mafisudi au wanasiasa na kuishia kuwa nyenzi za watu hao