Wakuu,
Kama kawaida yangu, napenda ukweli na ukweli huu huniweka huru, nimefanya tathimini ya kina juu ya mgombea urais kupitia CCM mama yetu Samia Suluhu Hassan na kujirithisha kuwa anafaa...
Nimeona kuna mamluki wamefanya utafiti wao na wamechapisha majina ya wale wote waliotangaza kujiondoa chadema; list yao inaonyesha asilimia 75 ya wanaoongoza huo utaratibu ni Kilimanjaro na wilaya...
Nimeshitushwa sana na habari hii,, mtu wa ndani akinieleza kwamba kulikuwa tayari na mpango wa kumtafutia Lissu kosa la kesi ya uhaini, kabla hata hajayatamka maneno ambayo ndio wamemfungulia...
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu...
Siku ya tarehe 6/ 8/1945 saa mbili za Asubuhi mji wa Hiroshima ulipigwa bomu la Atomiki na siku tatu baadaye yaani tarehe 9/08/1945 majira ya saa tano za Asubuhi mji wa Nagasaki nao ulipigwa Kwa...
Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama...
Point kwa point
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema Wananchi watahoji " ilikuwaje mmetusumbua kutoa maoni lakin Katiba mpya haijapstikana?"
Msuya amesema Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa...
2005
Wa kwanza Kikwete, wa pili Dr Salim na wa tatu Mark Mwandosya
2015
Wa kwanza Shujaa Magufuli, wa pili Balozi Amina na wa tatu Balozi Asharose
Ikumbukwe 2015 Kinara wa Friends of Lowassa...
Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra...
Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za...
Ukubali ukatae kila mtu uwe mfia chama usiwe mfia chama CCM itakufikia kwa matendo yake maovu
Rejea; kipindi cha Magufuli hadi Riziwani alitaka kukipata cha moto.
Wakati huo Ndugai alikuwa...
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo...
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi...
Bila Shaka wote Mpo salama!
Serikali ilifanya kosa la kiufundi kumkamata Tundu Lisu kwa Makosa ambayo kwa jicho la kawaida tuu unaweza kuona ni ishu ya kisiasa.
Ati Lisu mhaini. mwanasheria...
CHADEMA bado haijafa lakini ni kama iko ICU
Ndugu zao wa ODM wameshamezwa na UDA na sasa hawafurukuti tena, Raila amepewa jukumu la kumuwakilisha Ruto kwenye mikutano midogo midogo duniani...
Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM...
https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini...
Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.