Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
https://www.instagram.com/p/DJgg6_7t1Ud/?igsh=YXB5bXd6MDNwajgz My take: hiyo ni kauli ya askofu mkuu wa anglikana Tanzania
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Jamani povu sitaki ila naomba msaada wenu wachumi hivi ni kweli awamo ya sita serikali imelamba mkopo wa 30 Trilioni while other awamu walikopa 60 Trilioni wastan wa 12 Trilioni kwa kila awamu...
21 Reactions
85 Replies
4K Views
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Sote ni mashahidi kwamba makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
126 Replies
4K Views
GT. Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua. Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama...
3 Reactions
7 Replies
405 Views
Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa...
2 Reactions
5 Replies
528 Views
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣 Nadhani...
1 Reactions
35 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Morning..... Nashauri tu serikali ingeweka ada kwa shule za serikali kuanzia shule za msingi na sekondari, kuliko ilivyo sasa pesa nyingi zinaenda kwa watu wachache tu na kujinufaisha wao binafsi...
1 Reactions
2 Replies
359 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, tangu alipochukua uongozi wa Tanzania mnamo Machi 2021, amefanikisha mageuzi mbalimbali katika nyanja za uchumi, siasa, miundombinu, afya, elimu, na diplomasia. Hapa...
1 Reactions
1 Replies
738 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh 50 milioni kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Maria Mtakatifu Mwana wa Mungu, Kabwigwa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma. Mbali na Rais kutoa kiasi...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vya Tanzania havina udadisi. Magazeti yameandika habari ambazo hata msajili wa vyama hana habari nazo. Nimefuatilia nakubaini kwamba hakuna chombo cha habari chenye maamuzi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue. Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa...
3 Reactions
8 Replies
366 Views
Katika harambee hiyo Enokc Kiswaga ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mzaliwa wa kata hiyo ya Imalinyi amemwambia Mbunge wa Jimbo hilo Festo Dugange kuwa anagombea ubunge wa...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa...
0 Reactions
9 Replies
878 Views
Back
Top Bottom