Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
UZUSHI KUHUSU MAUAJI KUWA NI MIKAKATI YA VYAMA VYA SIASA, TUSIYAPE NAFASI KAMA MTAJI WA KISIASA TUNAPOELEKEA UCHAGUZI OKTOBA 2025 🖊️Mwanaharakati Huru Tanzania Katika siku za karibuni, kumezuka...
1 Reactions
12 Replies
525 Views
Kuna kikao cha siri kilikaa kati ya nyumba ya kulea vyama, wataalam wa siasa na rohoo mbaya kutoka chama kubwa pamoja na washahuri wa Boss. Agenda kubwa ni kukifunga miguu na mikono CHADEMA miezi...
9 Reactions
10 Replies
764 Views
Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
1 Reactions
27 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/wivzX09ThGk?si=t1hbaoJeAxdcEeOU
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Hamjambo! Watu walifikiri Moshi na Arusha ndio itakuwa kiini cha mabadiliko lakini sisi wengine tulilijua hilo haliwezekani kwa Sababu watu wa Kaskazini wengi wao ni WATU wenye kupenda Fedha...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025...
13 Reactions
149 Replies
9K Views
Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka. Hii inaweza kupelekea vita vya sisi...
3 Reactions
10 Replies
519 Views
Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea...
0 Reactions
3 Replies
622 Views
Wanabodi This is my tribute to this fallen hero of the media Mwandishi wa habari mkongwe nchini Paschal Mayala amewashauri waandishi wa habari vijana kumuenzi mwanahabari mkongwe marehemu Charles...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Sijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza. Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na...
8 Reactions
18 Replies
725 Views
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya...
1 Reactions
7 Replies
592 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi"...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na...
1 Reactions
3 Replies
443 Views
Ukienda ibadani makanisani kwa mfano Ibilisi shetani ndio hutajwa mara nyingi zaidi ilhali Kitabu chao ni Biblia Natoa angalizo kwa hii promo wanayopewa Chadema ilhali hata kwenye Uchaguzi...
1 Reactions
4 Replies
272 Views
Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System...
2 Reactions
2 Replies
402 Views
Back
Top Bottom