CCM itamfikia kila mmoja

CCM itamfikia kila mmoja

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,077
Reaction score
2,164
Ukubali ukatae kila mtu uwe mfia chama usiwe mfia chama CCM itakufikia kwa matendo yake maovu

Rejea; kipindi cha Magufuli hadi Riziwani alitaka kukipata cha moto.
Wakati huo Ndugai alikuwa hagusiki saizi Ndugai hata kukohoa hawezi.
Nawakumbusha tu CCM Hana rafiki wa kudumu ushishangae hata huyu Jordan anaetapanya mali zetu kuna muda utafika atatamani katiba mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom