Hiki ndio nachokiona kina kuja siku za usoni ambapo kuna uwezekano mkubwa hii kesi kuwa ni moja ya kesi maarufu na ya kihistoria unless wanaifuta ingawa teyari kuna damage kubwa mpaka sasa.
Hawa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari...
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga...
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia...
Wakuu.
Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.
Press itaanza muda wowote kuanzia sasa...
https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY
Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza
malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka...
Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama...
Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma...
Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa...
Tunaweza sema usku wa MDAIWA HAUCHELEWI KUKUCHA,
Leo hii zitto kabwe ni mtu wa kulia Lia kwenye media iakitaguta simpath ya WASWAHILI Ili aonewe huruma dhidi ya kesi aliyoifungiliwa na...
https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana...
waTanzania mbalimbali kuaminika na kukubalika kuongoza taasisi, mashirika na jumuiya mbalimbali za kimataifa, ni kielelezo tosha cha kukua kwa nguvu ya ushawishi wa Tanazania duniani.
Licha ya...
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili...
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇
Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?
Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi...
INTRODUCTION
Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa.
Baada ya salamu twende kwenye mada;
BODY.
Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata""
1. Wapo ambao wamekosa ajira...
Chadema sasa hivi inapata mil 100 kila mwezi kama ruzuku, japo ni kiasi kidogo.
Kwenye tonetone kuna option ya kuchangia kila mwezi, na wakifanikiwa kupata watu laki 1 watakao changia 10,000 tuu...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono...
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika...
Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa.
Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini...
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi...