Raisi wa Finland kaja kupumzika tu

Raisi wa Finland kaja kupumzika tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,633
Reaction score
15,152
Raisi wa Finland kaja kupumzika tu ! Kwa hali ya sasa anashidwa hata kutoa misaada maana bunge lake hataweza kukubali kwa hali mbaya ya kisasa tulio nayo kwa sasa.

Hivyo kwasababu alikuwa balozi wa Tanzania ni kama kaja kupumzika tu hakuna mradi wowote wa maana, msaada wowote kwasbabu wa hali mbaya ya kisiasa Tanzania
 
Hivi misaada yani ww kawani tz tumekatwa mikono jamani lazima tubadilike tujifunze kufanya kazi sio kutwa kuomba nahii inatakiwa jamii itoe elimu kuanzia familia kwanini tunapenda umatonya?
 
Kwan alivyokuja alikuambia amekuja kufanya nn
 
Raisi wa Finland kaja kupumzika tu ! Kwa hali ya sasa anashidwa hata kutoa misaada maana bunge lake hataweza kukubali kwa hali mbaya ya kisasa tulio nayo kwa sasa.

Hivyo kwasababu alikuwa balozi wa Tanzania ni kama kaja kupumzika tu hakuna mradi wowote wa maana, msaada wowote kwasbabu wa hali mbaya ya kisiasa Tanzania
Waafrika tunalaana halaf kujifanya wajuaji et tunawaona waarabu wajinga hawana akili, hivi jiulize Kuna nchi uarubun ni ombaomba ikiwA Haina vita? Sis huku hatuna vita Wala nini lkn mitanzania kutwa kujibebisha Kwa wazungu kama walemavu vile hili linashangaza
 
Raisi wa Finland kaja kupumzika tu ! Kwa hali ya sasa anashidwa hata kutoa misaada maana bunge lake hataweza kukubali kwa hali mbaya ya kisasa tulio nayo kwa sasa.

Hivyo kwasababu alikuwa balozi wa Tanzania ni kama kaja kupumzika tu hakuna mradi wowote wa maana, msaada wowote kwasbabu wa hali mbaya ya kisiasa Tanzania
Tabia ya kuwa omba omba sio nzuri. Na huyu jamaa hajawahi kuwa balozi Tanzania.

Amandla....
 
Tuta acha kuwa omba omba wakati kila kitu hatuwezi mpaka airport ya KIA inaingiza pesa tunawapa waarabu! mwendokasi Mama anataka kuwapa waarabu yaani pesa za watu wa chini ndizo zinaenda uarabuni kwa ndugu zake Mama Samia, Mbuga tayari, bandari tayari sasa kwanini tusiombe ombe
 
Siku hizi nchi za magharibi zimetustukia.

Amandla...
 
Back
Top Bottom