(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto
(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA
(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi
(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema
(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi
(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania