Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake! Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi? ==================...
16 Reactions
214 Replies
7K Views
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano...
5 Reactions
39 Replies
925 Views
Wanabodi Hii ni opinion article Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!. Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Jarida Maalum la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 3, Januari 2026
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Viongozi wengi wakishastaafu au kukaribia kufa wana tabia ya kuomba radhi kwa matendo waliyofanya wakiwa madarakani, wengine huandika vitabu. Akistaafu hatutaki kusikia kaandika kitabu eti...
5 Reactions
8 Replies
189 Views
Wao ni wauwaji kwamba walifanya ugaidi ndani ya Tanzania ndio maana wameteka maiti na hawataki kusema idadi ya vifo mda unakuja kila kitu kitajulikana. Hatucheki na mjinga sisi hatutamuacha mtu...
2 Reactions
2 Replies
81 Views
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi...
2 Reactions
10 Replies
915 Views
Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua...
34 Reactions
136 Replies
6K Views
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi...
58 Reactions
322 Replies
38K Views
Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji...
7 Reactions
18 Replies
352 Views
Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi. Aidha hatujasikia tume huru ya uchaguzi ikikanusha...
3 Reactions
3 Replies
144 Views
https://www.washingtonpost.com/world/2026/01/15/tanzania-samia-suluhu-hassan-internet-shutdown-october-election/21b8d8a0-f24f-11f0-a4dc-effc74cb25af_story.html Huyu Samia ni kiumbe wa ajabu sana...
49 Reactions
66 Replies
1K Views
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni...
1 Reactions
1 Replies
139 Views
Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu. Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana...
1 Reactions
3 Replies
120 Views
Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja...
3 Reactions
6 Replies
236 Views
Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao. Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika. Tushikamane kupambana na...
4 Reactions
4 Replies
87 Views
Amsterdam ongea na Trump amkomboe Lissu, maana anaonewa hana kosa. Hakuna wa kumtetea kwani huyu mama akeshaamua kummalizia jela! Sounds awkward, but anything is possible in this era! 1. Nani...
7 Reactions
18 Replies
377 Views
Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha. Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake...
11 Reactions
16 Replies
351 Views
Mtanzania Philipo Mwakibinga amewataka Watanzania kuwapuuza baadhi ya wanaharakati wa mitandaoni wenye nia ovu wanaoeneza uzushi kuwa Rais Samia ana migogoro ya ndani na wasaidizi wake...
1 Reactions
6 Replies
219 Views
Kuna hii taarifa inasambaa inayosema kuwa serikali ya Tanzania inatumia zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kutafuta ushawishi ndani ya Marekani, ikiwemo kuwashawishi Serikali ya Marekani na wadau...
7 Reactions
8 Replies
219 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…