Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu...
5 Reactions
7 Replies
575 Views
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na...
0 Reactions
11 Replies
135 Views
Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema...
1 Reactions
40 Replies
809 Views
Makamanda Shalom! Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama...
2 Reactions
61 Replies
726 Views
Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga, Jumanne ya tarehe 28 Julai, 2026, na kusomewa mashtaka...
4 Reactions
35 Replies
444 Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki za msingi za wananchi, huku ikiruhusu haki hizo kuwekwa mipaka kwa mujibu wa sheria pale inapohitajika kwa usalama wa taifa, amani na...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Je, Zanzibar ni Nchi (State) au siyo? Hebu Tuache Hisia, Tuzungumze kwa Sheria. Kila mara mjadala huu unajirudia. "Zanzibar ni nchi?" "Au ni sehemu tu ya Tanzania?" Badala ya kubishana kwa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Yaani kwa jinsi kila mtu anavyo muongelea vibaya, hadi yeye kajikatia tamaa.. Anasubiri siku ifike tu. Je, anasitahili kukatishwa uhai? Kwamba ndo muovu wa kwanza tangu Tanzania iundwe? Kwani...
4 Reactions
22 Replies
339 Views
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na...
13 Reactions
94 Replies
4K Views
Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa kikwete ni wazalendo nao?
0 Reactions
11 Replies
161 Views
Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na...
5 Reactions
53 Replies
798 Views
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili...
12 Reactions
114 Replies
955 Views
Katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), Mkurugenzi wa PPPC Bwan David Kafulila alieleza kuwa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ubia, serikali imefanikisha miradi yenye thamani ya...
1 Reactions
25 Replies
379 Views
Nadhani zimeshapita siku mbili sasa tokea Emmanuel Nchimbi [mimi simuiti makamu wa Rais kwa sababu hakuchaguliwa kushika hiyo nafasi] azungumzie mambo ya katiba mpya, uanaharakati, na mengineyo...
18 Reactions
33 Replies
488 Views
TULIWAONYA sana na kuwasihi sana wazazi kuwa watoto wenu hawa kaeni nao chini na muwaonye na kuwafunza kuwa waache kuichezea serikali na dola lakini mliona tunawapigia kelele TULIWASIHI sana...
-2 Reactions
48 Replies
822 Views
Salaam Wakuu, Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu. Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo...
51 Reactions
189 Replies
12K Views
Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje. Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la...
1 Reactions
8 Replies
99 Views
Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Back
Top Bottom