Wakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa...
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka...
GT.
Katika hali ya kawaida ukiyatafakari Maisha ya watanzania chini ya utawala wa CCM halafu leo kundi kubwa la watu wajinga na wenye Njaa linawakana watanzania kwa ubinafsi na roho mbaya zao na...
Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi.
Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua.
No...
THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA
Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa...
Salumu Mwalimu na Kigaila waiokuwa na wake kati ya Covid 19, sasa wameingia Chauma , Chama Cha Ubwabwa! na ghafla Wana bajeti ya kurusha CHOPA, wanaanzia kanda ya ziwa, kwa wasukuma, watajitokeza...
https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu...
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu...
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea...
Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai??
Chama...
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Wakuu,
Yaani kwa haya majibu ambayo anatoa huyu Mchome ni wazi kuwa alikuwa analipiwa hiyo apartment
Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kutafuta njia madhubuti za...
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina...
Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla.
Katika hali...
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale...
Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.