Makonda anataka kufanya jambo jingine tena Arusha

Makonda anataka kufanya jambo jingine tena Arusha

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda.

Sitaki kuamini kuwa itakuwa jambo rahisi ila naamini penye nia pana njia. Pambana Makonda, hata hili unaliweza.

Hivi kuna magari ya nyumbu kwenye majeshi yetu? Kitu gani kimekwamisha nyumbu lkn hakitakwamisha wakipewa general tyre?
 
Nyumbu hawajawahi successful hata kuunda magari 10 tangu kianzishwe miaka ya 80 mwanzoni kinakula pesa za umma tu kila mwaka kwa michakato ndio waweze kufanya mega/complex project kama ya general tyre,? Tairi zinahusisha maisha ya watu ujue. Hope itakua deal nyingine in the making, wanaweza kuvunja kokoto tu na kusaga unga!
 
Hicho kiwanda kinataka utashi tu,
Jeshi linaweza kuifufua kwa kusimika mitambo ya kisasa.
Malighafi tunayo,tunakwama wapi?
Siasa ziwekwe pembeni,kazi ifanyike.

Liliweza kiwanda gani?
 
Anapoteza muda, hao waliomzunguka ndio wakwamishaji wakuu, nawawasi hata hawaelewi anaongea nini. toka lini serikali ikaendesha kiwanda je sekta binafsi hawajaona hiyo fursa?.
 
Hivi kuna raw material nyingine ya kutengeneza matairi zaidi ya rubber?.

Maana unaweza kufufua General tyre kwa gharama kubwa halafu tyre zikashindwa kucompete na soko la tairi za kichina zilizojaa mtaani.

Kwanini tusifanye research ya zao la mpira na kuanza kulima mpira? Tukishakuwa na uhakika na raw materials ndio sasa tunaanza kuzarisha matairi.
 
Waanze priduction hata kidogo, then swala la kuongeza uzalishaki litakuja tu huko mbele.

Hivi kuna raw material nyingine ya kutengeneza matairi zaidi ya rubber?.

Maana unaweza kufufua General tyre kwa gharama kubwa halafu tyre zikashindwa kucompete na soko la tairi za kichina zilizojaa mtaani.

Kwanini tusifanye research ya zao la mpira na kuanza kulima mpira? Tukishakuwa na uhakika na raw materials ndio sasa tunaanza kuzarisha matairi.
 
Anapoteza muda, hao waliomzunguka ndio wakwamishaji wakuu, nawawasi hata hawaelewi anaongea nini. toka lini serikali ikaendesha kiwanda je sekta binafsi hawajaona hiyo fursa?.
Sekta binafsi katika sera za ubinafsishaji ndiyo waliokwamisha kiwanda hicho.

Kwa hao nyumbu sina imani nao sana kutokana na historia ya viwanda vyao vya magari visivyokua!

Hapo wangelikabidhiwa SUMA Jkt wangelitoboa na kuleta matokeo chanya.
 
kama sector binafsi wameshindwa kukiemdesha basi hiyo biashara itakua ni ngumu labda kwenye ushindani au pia inawezekana haina faida ukifananisha na mtaji wa uwekezaji
 
Kutengeneza kiwanda halafu bado tunaagiza mali ghafi nje ni kupoteza muda...

Kigoma, Kagera, Mbeya na Tanga zinaweza kuzalisha Mpira, kwanini tusingejikita kwanza kwenye Kilimo cha Mpira ambacho kinachukua around miaka 8 mpaka uvunaji halafu ndo tuhangaike na Kiwanda.

Ana wazo zuri ila hajaanza kwenye mizizi ya tatizo...
 
Back
Top Bottom