Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,678
Reaction score
2,758
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
 
Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.

Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
 
Kwa hiyo watu wa kigoma ndio hutumika kama chawa wa Taifa?
 
Hamna chama pale, wale watu wamepewa pesa.

Mimi namsikitikia Mbowe, kiukweli atajichafulia sanaa jina lake. Kama kweli Mbowe ana familia inampenda, imshauri atulie akae kimya tuu.

Note: Wote tunahisi juu ya Mbowe, haijathibitika bado kama Mbowe atajiunga Chauma. Tuweke akiba ya maneno.
 
Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.

Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
CHAUMMA kinaenda kuchukua nafasi rasmi ya upinzani TZ…. Kaeni nafsi kabisa Ndo utoto wenu!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
We poyoyo huna lolote umeandika pumba tu. Chadomo kwishnet hivyoo
 
Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.

Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
Chadomo imebakiza siku ya maziko
 
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
hiyo mbona ni ramli na sio utabiri gentleman 🐒
 
Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.

Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
Kikubwa viongozi wa Chadema wasiwe na panic maana kwa sasa ingekua kwenye ngumi tunaweza kusema wamepelekwa kwenye kamba anatafutiwa timing tu..

Wanachotakiwa kujua ni kwamba wana support na imani kubwa kwa wananchi walio wengi .

Mbowe hana ushawishi wa wananchi kwa sasa zaidi ya kundi kubwa la viongozi ambao ni rahisi kurubunika kwa ahadi ya kugombea na kupitishwa.

Kwa hiyo hata akiondoka hatakua na jipya.
 
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
Hata kama ukiwachukua wauza butcher uwavalishe lishe Makoti meupe na stethoscope shingoni maadamu wamo buchani ni mpumbavu peke yake ataamini hao ni madaktari.
 
CHAUMMA kinaenda kuchukua nafasi rasmi ya upinzani TZ…. Kaeni nafsi kabisa Ndo utoto wenu!
HIvi mnachukulia wananchi wa sasa ni kama wa karne ya 19 eeh?
Wengi wanafahamu haya maigizo,kwa hiyo hao watakuja kujidharau baadae acha kwanza watumike na dola kama TP.
 
Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus.
CDM wanasema bila marekebisho hakuna uchaguzi, hao CHAUMA watashiriki, na inaonekana hakuna dalili ya mazungumzo na uchaguzi utafanyika. Sasa CDM watakuwa wanapigania nini nje ya uwanja!?
 
Back
Top Bottom