Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima...
32 Reactions
124 Replies
6K Views
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu...
50 Reactions
124 Replies
6K Views
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia...
5 Reactions
5 Replies
494 Views
Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania. Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu, Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba? Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa. Kazi...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli...
1 Reactions
7 Replies
623 Views
1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni Nadhani wote tunamkumbuka Peter...
24 Reactions
73 Replies
5K Views
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu...
6 Reactions
11 Replies
919 Views
Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani. Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa. Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
6 Reactions
6 Replies
474 Views
Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu...
12 Reactions
120 Replies
5K Views
Na Ilunga Msekela Mpambanaji, Wakati tunazidi kuhesabu siku za mwaka huu 2011 kuna mambo kadha wa kadha ambayo watanzania wanayazungumza , watanzania wengi ukiacha wale wenye nacho huwa na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki. Hon. Jaji Aggrey Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu...
4 Reactions
3 Replies
522 Views
Nina mifano mingi.. Lakini kuwa na subra na kufuata utaratibu daima humpa mtu matokeo bora tena kwa wivu mkubwa Sana Subiri wakati sahihi ufike ndio ufanye jambo lako kwa utaratibu uliowekwa...
11 Reactions
11 Replies
920 Views
Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…