Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka...
32 Reactions
89 Replies
6K Views
Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo...
30 Reactions
173 Replies
13K Views
Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
==== The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion. If successful, these...
23 Reactions
268 Replies
12K Views
Jaji Mutungi alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki mazishi ya Askofu mkuu wa zamani wa TAG Dr Lazaro Ibada ya mazishi ilirushwa mubashara na ITV Ahsanteni sana
3 Reactions
19 Replies
894 Views
Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako...
0 Reactions
11 Replies
834 Views
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa "Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanasiasa wanatukosea sana wananchi wao na hawaombi msamaha. Kutokuomba msamaha huleta taharuki na chuki kwa wananchi. Unakuta mwanasiasa anaropokaropoka tu kana kwamba hajui athari za uropokaji...
1 Reactions
2 Replies
285 Views
Hawa ndio wanafanya Hasira ya Wananchi juu ya Serikali, CCM na Rais iwe juu Kila siku. Kila siku Mungu anazidi kuwachanganya ili Watanzania wajue Watekaji na Wauaji wao ni watu gani Et Jumuiya...
3 Reactions
7 Replies
843 Views
Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari. Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma. Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge...
20 Reactions
56 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26...
0 Reactions
8 Replies
747 Views
Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu...
25 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa ataendelea kuhamasisha bila hofu wananchi wawashughulikie wezi wa kura kama wanavyowashughulikia wezi wengine kwenye jamii ili haki ya...
0 Reactions
9 Replies
445 Views
Nabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa...
15 Reactions
114 Replies
7K Views
Wakuu, Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika! Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure. ===============...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria...
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Back
Top Bottom