Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,505
Reaction score
62,054
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.

Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.

Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ACT Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na za nyuma ya pazia lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
 
Mwambie aifute, mshauri yeye aanze kwanza kufuata sheria sio kuilazimisha Chadema ifuate wakati yeye anazivunja.
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
Unailalamikia chadema? Mbona usiilalamikie ccm kwa kutofuata utaeatibu wakati wa kumpitisha samia na na nchimbi?
Wewe ni mwehu???
 
CCM haikufuata utafatibu kwa mujibu wa katiba ipi? Maana mkutano mkuu una mamlaka ya kupitisha jina la mgombea urais na akidi ilitimia!! Narudia tena UTOTO unaiua CHADEMA!
 
Kwani msajili hakuwepo kwenye kikao cha chadema!
Msajili alikuwepo kwenye mkutano mkuu na mwakilishi alikuwepo kwenye baraza kuu…. Kuwepo si kuhalalisha nail kushuhudia Kama taratibu zimefuatwa au laa!! Narudia tena huu UTOTO ndo unakiua CDM!!
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
Eti huyu nae anaitwa msomi kijijini kwao!!!! TANZANIA kuna laana sio bure
 
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.

Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.

Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ATC Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na kwa njia za siri lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
Umeisha changia kiasi hani TONE TONE? pesa inahitajika pia, acheni kuwainguza chaka wakina Mnyika ilihali mnajya nyie humu ni Keybord worrior, mbaya zaidi hakuna mnacho changia CDM,
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
Takwa gani la sheria? unapofanyiwa upumbavu sio ulaze shingo, kataa upumbavu. Watachukua mkeo ukishangilia.
 
Hiki chama cha CHADRAMA bado kipo? 😅😅😅😅

Futi sita tangu naawaambia humu ila hamusikiii

Kazi iendelee
 
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.

Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.

Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ATC Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na kwa njia za siri lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
We endelea na upumbavu wako, msajili amesema wakiendelea hatua inayofuata ni kufungia viongozi kufanya shughuli za kisiasa, sasa endelea kujidanganya hapo hakuna chama tena. Juzi mligoma kufanya uhakiki, Zanzibar hakuna chama, na masharti ya usajili ni chama kuwa pande zote za muungano, chadomo iko hatarini kufutwa.
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
Ni sheria ipi chadema waliyokiuka? Huyo msajiri ni muhuni tu

Huyo mtu wake aliyekua anamtumia leo hii kagamia Chauma na hakufukuzwa chadema

Tumia akili
 
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.

Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.

Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ACT Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na za nyuma ya pazia lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
Ila Jaji Mtungi daah
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
Una akili ndg hao ndio maana wameitwa nyumbu wanaendesha siasa za kishamba. Hao wanachama wanaowasema wenyewe hawana uhakika nao hawa wanaoandika humu mitandaoni ni km misukule hawana ht kadi ni washabiki na wachochezi tu, wengine ht siyo watanzania. Wanàohudhuria mikutano wengi wanaendaga tu kujiburudisha na zile povu wanazotoa majukwaani, mi niko wilayani nayajua haya. Mwisho chadema inaweza kufutwa wakiendelea na upuuzi wao na hakuna ht nzi atafanya chochote, watanzania tunawajua na nchi yetu tunaijua sisi yatapita km mengine yaliyopita. Chama gani hakitaki kutii mamlaka zilizopo?
 
CCM haikufuata utafatibu kwa mujibu wa katiba ipi? Maana mkutano mkuu una mamlaka ya kupitisha jina la mgombea urais na akidi ilitimia!! Narudia tena UTOTO unaiua CHADEMA!
Chadema haikufuata taratibu kwa mujibu wa katiba ipi, unataka kutuambia msajili anaijua katiba ya Chadema kuliko wana Chadema wenyewe.
 
Back
Top Bottom