1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa...
Rais Kikwete kuna mambo mengi aliyotaka kuyafanya katika uongozi wake kwa dhamira njema lakini kwa sababu ambazo mimi siwezi kuzielewa vizuri hakufanikiwa kabisa. Miongoni mwa mambo hayo ni;
1)...
"Demokrasia ya Kenya sio tunda la hisani au roho nzuri ya Rais aliyepo madarakani. Ni tunda la mapambano ya muda mrefu ya kupigania Uhuru na demokrasia. Wala sio kwamba Kenyatta alikuwa na option...
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.
Amesema hali hiyo imechangia kuwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata...
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Ofisi ya Spika wa Bunge la Tanzania kuwajibika kwa kuwaita na kuwahoji wabunge katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kufuatia kauli zilizotolewa na...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya...
Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatuonesha dhahiri kuwa tulipigwa na kutapeliwa — jamani ebu imagine! Serikali imetangaza bajeti ya TSh trilioni 49.35, tena kwa mbwembwe zilezile za kila...
Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja...
Leo nimeikumbuka kauli ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko Korokoroni Tundu Lissu ambaye alisema wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na...
Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la...
Huyu aliye kwenye Picha na Rais Mstaafu Kikwete, anaitwa Salome Makamba, ni miongoni mwa wale Covid 19 waliofukuzwa na Chadema.
Wako bungeni kinyume cha sheria na leo kaongeza hoja zingine kwa...
BALOZI MATINYI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI USWIDI
Balozi wa Tanzania katika Ufalme wa Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi, tarehe 29 Mei, 2025, alifanya kikao na Watanzania wanaoishi nchini...
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao...
Kama Mbowe angesimama kwenye msimamo wake alioutoa kwenye mkutano mkuu wa Bawacha pale Mlimani City 2019 kwamba hatagombea tena Uenyekiti 2025 basi Chadema isingesambaratika
Lakini kwa kukubali...
Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni.
Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.