Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba : 1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika. 2...
1 Reactions
12 Replies
438 Views
Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM. Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
"Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada...
0 Reactions
6 Replies
773 Views
"Survive not merely for your own sake, but as a duty to the generations that follow. In your endurance lies the promise of their tomorrow."— Alloyce, P.R.
2 Reactions
1 Replies
341 Views
Wakuu, Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea! ================================================ Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
22 Reactions
98 Replies
6K Views
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama...
42 Reactions
109 Replies
7K Views
Serikali imeanza utekelezaji wa mradi Mkubwa wa Mageuzi ya Sekta ya Mifugo wenye thamani ya $200bln( 550Trilioni) ambapo itatekelezwa Kwa miaka 10. Mradi huo mkubwa unalenga kubadili sekta ya...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Huku kwetu rahaa tuu stress tupa kule https://youtube.com/shorts/Uu8LGlSjxPU?si=IgmDTaKogzbmGJP8 Ukiwa na makasiriko pole
1 Reactions
13 Replies
669 Views
Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima. Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama...
2 Reactions
0 Replies
197 Views
Wakuu Salaam, Nchi yetu kwa hakika inapitia njia na kipindi cha mseleleko kuelekea kwenye giza totoro. Kwa kila raia ambaye bado ana nuru ya kung’amua yanayoendelea, shime afanye lililo ndani ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo...
1 Reactions
23 Replies
835 Views
Haiiiiiyaaa
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Kuwa rais mstaafu kuna dhima kubwa. Haitoshi tu kuwa mualikwa kwenye shughuli na kukaa high tables za mialiko mbalimbali basi hiyo ikawa sababu ya roho yako kuwa kwatu. La hasha kuna dhima ya...
4 Reactions
18 Replies
971 Views
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ? Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje. Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti. Sasaaa...... logic...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Hilo ndio ombi la mzee Mgaya kwa CCM na ameniomba nimfikishie hapa JF Ahsanteni sana 😁
6 Reactions
16 Replies
621 Views
Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na...
5 Reactions
105 Replies
4K Views
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani. Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania? Magwajima ndio...
4 Reactions
9 Replies
566 Views
Ama kwa hakika CCM ni Chama kikubwa sana Ali Mwinyi alisema Maisha ni Hadithi Ahsanteni sana 😁🇹🇿
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Back
Top Bottom