Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Wakuu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson ametiririsha sifa lukuki kwa Rais Samia akisema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine...
1 Reactions
15 Replies
697 Views
Chaumma imepotea ghafla sana yaani imezimika Hashim amefeli sana 😂
4 Reactions
10 Replies
582 Views
Wakuu Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
3 Reactions
12 Replies
624 Views
Wakuu, Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana...
1 Reactions
1 Replies
295 Views
Wadau kuhusu utekaji na watekaji, kuna mambo yanafikirisha sana kuhusu Rais Samia ukiyatafakari , Mosi, Sijawahi kumsikia Rais wetu , mahala popote akikemea masuala ya utekaji na watekaji Pili...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Wana jukwaa, hivi mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake? Maana naona wakiwa bungeni hawasemi ukweli unao wagusa wananchi wake kulingana...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
MBUNGE wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga (Jah People) anatarajiwa kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilayani Njombe, kufuatia tuhuma za kutoa...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi? Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi?
0 Reactions
6 Replies
358 Views
Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji...
35 Reactions
492 Replies
76K Views
Kupitia kipindi cha scanning anatuonesha jinsi wanasiasa wetu walivyo vilaza.
3 Reactions
14 Replies
651 Views
Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and his party Secretary General. Early Life and Education Mnyika earned his degree from the University of Dar es Salaam. His early career...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
AFYA ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, ni tete baada ya kuugua ugonjwa uliomsababisha kuvimba mwili wote.Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na yeye mwenyewe zinaeleza kuwa...
16 Reactions
824 Replies
92K Views
  • Poll Poll
Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Wadau hamjamboni nyote? Happy Sabbath dear brethren Amazing revelation that while. Lissu kids are all in Europe , Lemas kids are all in North America, why aren't they kaming back home?
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria...
1 Reactions
0 Replies
220 Views
Back
Top Bottom