Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa sauti kubwa ya upinzani. Lakini je, inaweza kufanikisha ndoto ya kushika dola peke yake? Au bila kuungana na ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi, n.k. ni ndoto ya alinacha...
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Nchini Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amemshutumu vikali mbunge mwenzake wa chama tawala CCM kwa kukosoa juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiziomba...
16 Reactions
80 Replies
5K Views
Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki? Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna Kiongozi moja WA PPP ambaye aishi kuendeleza wimbo wa PPP kama ndio dawa ya matatizo yetu bila kuangalia tumetika wapi , tupo wapi na tunaenda wapi. Kama Prof anavyozungumzia.
2 Reactions
8 Replies
580 Views
Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome. Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi...
3 Reactions
4 Replies
395 Views
1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote. 2. Matumizi mabaya ya...
1 Reactions
1 Replies
325 Views
Ni vema umma ukafahamishwa kama mtu huyu cheo hiki ni urithi kutoka kwa Wazazi wake ama la , maana haiwezekani kwa kipindi chote hicho Mkurugenzi awe yeye tu , toka wakati wa Jackpot Bingo hadi...
16 Reactions
80 Replies
16K Views
Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo. Anajaribu kuleta...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
SERIKALI IMETAMKA KUWA UJENZI WA STAND YA KISASA YA MABASI YA WILAYA BIHARAMULO ITAJENGWA HIVI KARIBUNI BAADA YA ANDIKO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO KUKUBALIWA NA WIZARA . Akijibu...
1 Reactions
4 Replies
390 Views
HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa...
1 Reactions
5 Replies
501 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile kampeni ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election inaendelea, na leo imeingia Mkoani Tanga. Hapa ni Korogwe, ambako licha ya mvua kubwa kunyesha wananchi...
10 Reactions
17 Replies
909 Views
Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa...
13 Reactions
65 Replies
2K Views
“Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Tuiombee Nchi yetu tupate wa kinagwajima kama miambili nchini ili kuimaliza huu ujinga wa kuteka na kuua watanzania
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Maswali ni mengi sana juu ya hili Nikweli kabisa mifano ya Mbunge huwenda haikuwa sawa sana, ila kwangu mimi nilidhani, hiyo mifano ndiyo ingetuleta kwa pamoja kama taifa kuzungumza kwa lugha...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
"Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeisikiliza kwa kina,kirefu ,Umakini ,utulivu na kwa kila neno lililotoka kinywani Mwa Mheshimiwa Askofu Dkt Josephat Gwajima Hotuba aliyoitoa Kwa Waandishi Wa Habari...
16 Reactions
292 Replies
12K Views
Back
Top Bottom