Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Katika ilani yake mpya, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ahadi ya kujenga Maktaba ya Taifa mjini Dodoma na kuhuisha maktaba katika ngazi za mikoa na wilaya. Ibara ndogo ya V ya ilani hiyo...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Huko kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza kiongozi au mwanasiasa kudanganya au kuandika taarifa za kubumba katika CV yako hasa suala la elimu ikugundilika ni suala linaloweza kupelekea hata kupoteza...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi katika lile shambulio tuseme Father Kitima na siombei lakini tuseme angepoteza maisha, kwa hiyo ndo kesi ingeishia hapo hapo isingeendelea? Anyway, =================================...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
J.K. NYERERE Huyu Mzee pamoja na sifa kedekede anazomwagiwa hivi Sasa, safari yake haikuwa rahisi. Alipewa majina ya HAAMBILIKI na MCHONGAMENO. Alichukua hatua kadhaa Ili kukabiliana na upinzani...
1 Reactions
1 Replies
575 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake...
13 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanajamvi nauliza maswali matatu maana najua ntapata majibu sahihi toka kwa wanajamvi mahiri 1, Hivi mgombea urais anaweza kufikishwa mahakaman wakati wa kampen kwa kosa la ufisadi wa muda...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
0 Reactions
4 Replies
401 Views
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu, Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani. Nyie huyu baba ana ujasiri! "Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi...
67 Reactions
204 Replies
13K Views
Ni takribani miaka 64 tangu Tanganyika ipate uhuru na miaka 61 tangu Muungano uliopelekea kuzaliwa taifa la Tanzania. Kwa miaka yote hiyo vitendo vya rushwa vinasikika na kuonekana katika kila...
1 Reactions
3 Replies
311 Views
TCRA yapiga marufuku watanzania mitandaoni kusambaza maudhui youtube ,WhatsApp nk ya wakenya nk ya kutukana Tanzania au Raisi Kuwa wewe ukiwa mtanzania utawajibika wewe kama wewe kwa kukiuka...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
1. Sina shida na namna unavyoanza kujenga hoja yako kwa kuwaeleza wananchi kwamba wao ndiyo msingi wa mamlaka ya serikali na utawala wa nchi kupitia chaguzi za kidemokrasia ukitumia Ibara ya 8 ya...
5 Reactions
9 Replies
638 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kupamba moto. Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
09 December 2024 Maadhimisho ya uhuru wa Tanzania makala maalum Makala ya Kimataifa by Carlos Mureithi wa: Gazeti tajwa kimataifa la The Guardian Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana. Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu. Hapa ndo unajua...
34 Reactions
146 Replies
9K Views
https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially...
2 Reactions
3 Replies
846 Views
Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo. Tunaomba...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom