09 December 2024
Maadhimisho ya uhuru wa Tanzania makala maalum
Makala ya Kimataifa by Carlos Mureithi wa:
Gazeti tajwa kimataifa la The Guardian
Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over...
Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua...
https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i
Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially...
Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua...
Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo.
Tunaomba...
Kwakuwa ushauri huu umekulenga wewe Baba Askofu, nitazingatia maandiko matakatifu kukushauri. Ukisoma Mithali 22:3 imeandikwa "Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea...
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku...
"Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa
1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila...
Ubishi mkubwa umezuka,Batilda Buriani anagombania ardhi na wanakijiji Ngorongoro.
Kwa hiyo wananchi wamefanya mkutano,amefika mwakilishi kutoka ofisi ya DC.
Yule afisa anawaambia,ok tuanze...
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu
Baadhi ya kauli hapa...
🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO.
📸 Updates...
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina...
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio...
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by...
Kauli hiyo Kabambe imetolewa na Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Tanzania.
Taarifa yao hii hapa
Pichani chini ni Mwananchi wa Tanzania akifurahia namna Takukuru ilivyoamua kukomesha Watoa...
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na...
My Take
Mama apewe maua yake ,hivyo uchaguzi wa 2030 utafanyika chini ya Katiba Mpya
Pili kuanzia 2026 CCM watabadilisha namna ya utendaji kazi wao Kwa sehemu kubwa wakitambua fika kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.