Ujio wa Gwajima.. Je ni ufufuko wa SKMG?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,279
Reaction score
866,698
Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais
Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40 ya mikoa yote ya Tanganyika.. Ikibeba watu wenye uthubutu wanaojiamini na wenye upungufu mkubwa wa kitu kinachoitwa woga
Wakati wa Magufuli likaibuka/likaasisiwa kundi moja maarufu lililokuja kuitwa/kujiita SUKUMA GANG.. Asili yake hili kundi ni kanda ya ziwa na lilitawala siasa za Tanganyika, uchumi na hata mambo mengi ya kijamiii... Mazuri na mabaya

Tuhuma za Sukuma Gang zilikuwa nyingi.. Za kweli, za uongo na za kuzushiwa.. All in all kundi hili lilifanikiwa kujitengenezea jina iwe kwa ubaya au kwa uzuri.. Na likawa na malengo makubwa na ya muda mrefu
Kudra za Maanani zikaenda kinyume na mipango, maono na matarajio ya SKMG.. Mungu akamchukua Magufuli kwenye pumziko la milele
Katiba ya Tanzania (sio ya Tanganyika) ikatuletea makamu ndiye akalie kiti cha urais... Na hapo ndio ikawa mwanzo wa kufubazwa kwa SKMG
Vilio vikawa vingi
Malalamiko yakawa mengi
Shutuma zikawa nyingi
Kelele pia zikawa nyingi mpaka pale baadhi yao walipochukuliwa na kupewa shavu hapa na pale ndio kidogo mambo yakatulia

Sasa kipindi cha uchaguzi kimekaribia.. Pamoja na kuona kwamba wametengwa lakini pia wameona mambo mengi hayaendi na mifumo mingi imeparaganyika hasa kwenye ulinzi wa raia na tunu za taifa

Kuna kila dalili SKMG wanataka kupindua meza na walikuwa wanatafutq pa kuanzia na sasa wamepapata.. Na katika hilo wakamtafuta ambaye ana historia na kwenda front bila hofu na mwenye historia ya kujua kupiga kelele na kukomaa na jambo asiyependa kushindwa

Huyu ana backup kubwa na amepewa nyenzo na data muhimu sana ili aliamshe.. Na timing imefanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ili kuwanyima watu nafasi ya kujipanga
Gwajima hajajitokeza kwa bahati mbaya... Na June itatupa majibu mengi sana
 
Kuna kila dalili SKMG wanataka kupindua meza na walikuwa wanatafutq pa kuanzia na sasa wamepapata.. Na katika hilo wakamtafuta ambaye ana historia na kwenda front bila hofu na mwenye historia ya kujua kupiga kelele na kukomaa na jambo asiyependa kushindwa
Wanaweza ila
  1. Bila Katiba iliyoboreshwa
  2. Bila Msoga kudhibitiwa
  3. Bila Tume huru ya kweli kwenye uchaguzi
  4. Bila kudhibiti chawa chamani
Hawatoboi
 
Kusema kweli bila kumung'unya maneno Samia huku Kanda ya Ziwa hapendwi kabisa na hata yeye mwenyewe anajua hilo ndiyo maana amefanya juu chini Lissu awekwe kizuizini hadi baada ya uchaguzi. Watu huku walishasema tangu siku nyingi kuwa kama CCM wakimsimamisha Samia na Chadema wakimsimamisha Lissu basi kura zao watampa Lissu na habari hizi alikuwa nazo ndiyo akamuomba Mbowe ahakikishe kuwa Lissu hawi mwenyekiti na pia asiwe mgombea kwa gharama yoyote ile na mipango ikasukwa. Bahati mbaya kwao Lissu akashinda kuwa mwenyekiti ndiyo mizengwe ikaaza na G 55 na baadaye kesi ya Uhaini, na yote haya ni kuwa huku watu wengi sana wana imani kuwa chura kiziwi ana mkono kwenye kifo cha Magufuli.
 
Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais
Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40 ya mikoa yote ya Tanganyika.. Ikibeba watu wenye uthubutu wanaojiamini na wenye upungufu mkubwa wa kitu kinachoitwa woga
Wakati wa Magufuli likaibuka/likaasisiwa kundi moja maarufu lililokuja kuitwa/kujiita SUKUMA GANG.. Asili yake hili kundi ni kanda ya ziwa na lilitawala siasa za Tanganyika, uchumi na hata mambo mengi ya kijamiii... Mazuri na mabaya

Tuhuma za Sukuma Gang zilikuwa nyingi.. Za kweli, za uongo na za kuzushiwa.. All in all kundi hili lilifanikiwa kujitengenezea jina iwe kwa ubaya au kwa uzuri.. Na likawa na malengo makubwa na ya muda mrefu
Kudra za Maanani zikaenda kinyume na mipango, maono na matarajio ya SKMG.. Mungu akamchukua Magufuli kwenye pumziko la milele
Katiba ya Tanzania (sio ya Tanganyika) ikatuletea makamu ndiye akalie kiti cha urais... Na hapo ndio ikawa mwanzo wa kufubazwa kwa SKMG
Vilio vikawa vingi
Malalamiko yakawa mengi
Shutuma zikawa nyingi
Kelele pia zikawa nyingi mpaka pale baadhi yao walipochukuliwa na kupewa shavu hapa na pale ndio kidogo mambo yakatulia

Sasa kipindi cha uchaguzi kimekaribia.. Pamoja na kuona kwamba wametengwa lakini pia wameona mambo mengi hayaendi na mifumo mingi imeparaganyika hasa kwenye ulinzi wa raia na tunu za taifa

Kuna kila dalili SKMG wanataka kupindua meza na walikuwa wanatafutq pa kuanzia na sasa wamepapata.. Na katika hilo wakamtafuta ambaye ana historia na kwenda front bila hofu na mwenye historia ya kujua kupiga kelele na kukomaa na jambo asiyependa kushindwa

Huyu ana backup kubwa na amepewa nyenzo na data muhimu sana ili aliamshe.. Na timing imefanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ili kuwanyima watu nafasi ya kujipanga
Gwajima hajajitokeza kwa bahati mbaya... Na June itatupa majibu mengi sanaView attachment 3346087
Acha uwongo anaiamua nani awe rais ni mwenyekiti wa ccm hata asipopigiwa kura bado atashinda tuu
 
Uzi mzuri ngoja wajuzi wa mambo waje waongeze data zaidi.

Nb;
Naomba kufahamu namna ya kuupload video JF ije katika mfumo huu
 
Usalama wa taifa ndio wanaamua nani awe rais , mbunge au diwani. Kura za watanzania huwa ni upuuzi mtupu kwa nchi hii.
 
Gwanjima ameshaona mbali, ubunge hapati tena, na hii ndio amejiharibia kabisa, yeye angebaki anawadanganya waumini wake waendelee kunchangia hela aishi maisha ya ufahari, kuna kitu kimoja wengi wamejifunza kwenye hii nchi, usichezee CCM lasivyo watakumaliza, nyie ngojeni muone hali ya huyu jamaa baada ya muda tu. Kwanza anapigwa chini kwenye ubunge halafu kipigo chenyewe ndio kinafatia.
 
Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais
Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40 ya mikoa yote ya Tanganyika.. Ikibeba watu wenye uthubutu wanaojiamini na wenye upungufu mkubwa wa kitu kinachoitwa woga
Wakati wa Magufuli likaibuka/likaasisiwa kundi moja maarufu lililokuja kuitwa/kujiita SUKUMA GANG.. Asili yake hili kundi ni kanda ya ziwa na lilitawala siasa za Tanganyika, uchumi na hata mambo mengi ya kijamiii... Mazuri na mabaya

Tuhuma za Sukuma Gang zilikuwa nyingi.. Za kweli, za uongo na za kuzushiwa.. All in all kundi hili lilifanikiwa kujitengenezea jina iwe kwa ubaya au kwa uzuri.. Na likawa na malengo makubwa na ya muda mrefu
Kudra za Maanani zikaenda kinyume na mipango, maono na matarajio ya SKMG.. Mungu akamchukua Magufuli kwenye pumziko la milele
Katiba ya Tanzania (sio ya Tanganyika) ikatuletea makamu ndiye akalie kiti cha urais... Na hapo ndio ikawa mwanzo wa kufubazwa kwa SKMG
Vilio vikawa vingi
Malalamiko yakawa mengi
Shutuma zikawa nyingi
Kelele pia zikawa nyingi mpaka pale baadhi yao walipochukuliwa na kupewa shavu hapa na pale ndio kidogo mambo yakatulia

Sasa kipindi cha uchaguzi kimekaribia.. Pamoja na kuona kwamba wametengwa lakini pia wameona mambo mengi hayaendi na mifumo mingi imeparaganyika hasa kwenye ulinzi wa raia na tunu za taifa

Kuna kila dalili SKMG wanataka kupindua meza na walikuwa wanatafutq pa kuanzia na sasa wamepapata.. Na katika hilo wakamtafuta ambaye ana historia na kwenda front bila hofu na mwenye historia ya kujua kupiga kelele na kukomaa na jambo asiyependa kushindwa

Huyu ana backup kubwa na amepewa nyenzo na data muhimu sana ili aliamshe.. Na timing imefanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ili kuwanyima watu nafasi ya kujipanga
Gwajima hajajitokeza kwa bahati mbaya... Na June itatupa majibu mengi sanaView attachment 3346087
Hii video ya Hayati John P. Magufuli inachekesha sana lakini wakati huohuo ikifikirisha sana...

Hiki kilio cha "nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaasa" mfululizo mara tatu kilikuwa na maana yake....

Wa tafakuri fupi waweza kudhani, kelele ya kilio hiki kililenga ubunge tu...

Sasa fumbo la kelele hiyo linafumbuka mdogo mdogo..
 
Ndugu umeandika ki nabii sana.
Mapenzi ya Mungu yatimie
 
Hii video ya Hayati John P. Magufuli inachekesha sana lakini wakati huohuo ikifikirisha sana...

Hiki kilio cha "nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaasa" mfululizo mara tatu kilikuwa na maana yake....

Wa tafakuri fupi waweza kudhani, kelele ya kilio hiki kililenga ubunge tu...

Sasa fumbo la kelele hiyo linafumbuka mdogo mdogo..
It was like he was hallicinating with unknown powers
 
Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais
Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40 ya mikoa yote ya Tanganyika.. Ikibeba watu wenye uthubutu wanaojiamini na wenye upungufu mkubwa wa kitu kinachoitwa woga
Wakati wa Magufuli likaibuka/likaasisiwa kundi moja maarufu lililokuja kuitwa/kujiita SUKUMA GANG.. Asili yake hili kundi ni kanda ya ziwa na lilitawala siasa za Tanganyika, uchumi na hata mambo mengi ya kijamiii... Mazuri na mabaya

Tuhuma za Sukuma Gang zilikuwa nyingi.. Za kweli, za uongo na za kuzushiwa.. All in all kundi hili lilifanikiwa kujitengenezea jina iwe kwa ubaya au kwa uzuri.. Na likawa na malengo makubwa na ya muda mrefu
Kudra za Maanani zikaenda kinyume na mipango, maono na matarajio ya SKMG.. Mungu akamchukua Magufuli kwenye pumziko la milele
Katiba ya Tanzania (sio ya Tanganyika) ikatuletea makamu ndiye akalie kiti cha urais... Na hapo ndio ikawa mwanzo wa kufubazwa kwa SKMG
Vilio vikawa vingi
Malalamiko yakawa mengi
Shutuma zikawa nyingi
Kelele pia zikawa nyingi mpaka pale baadhi yao walipochukuliwa na kupewa shavu hapa na pale ndio kidogo mambo yakatulia

Sasa kipindi cha uchaguzi kimekaribia.. Pamoja na kuona kwamba wametengwa lakini pia wameona mambo mengi hayaendi na mifumo mingi imeparaganyika hasa kwenye ulinzi wa raia na tunu za taifa

Kuna kila dalili SKMG wanataka kupindua meza na walikuwa wanatafutq pa kuanzia na sasa wamepapata.. Na katika hilo wakamtafuta ambaye ana historia na kwenda front bila hofu na mwenye historia ya kujua kupiga kelele na kukomaa na jambo asiyependa kushindwa

Huyu ana backup kubwa na amepewa nyenzo na data muhimu sana ili aliamshe.. Na timing imefanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ili kuwanyima watu nafasi ya kujipanga
Gwajima hajajitokeza kwa bahati mbaya... Na June itatupa majibu mengi sanaView attachment 3346087
Jitihada kubwa zinafanywa kupata kura za kanda ya ziwa. Kufufuliwa cheo cha naibu waziri mkuu (ambacho kikatiba hakipo) na kupewa Biteko, kurudishwa kwa (kulazimishwa?) mzee Wasira, ni miongoni mwa jitihada hizo. Bahati mbaya jinamizi la teka, tesa, uwa na ubadhirifu na wizi wa mali za umma unao fanywa na wateule wa mama unaipa wakati mgumu CCM kupenyeza ndani ya watu wa kanda hiyo. Kwa asili ni jamii inayosimamia ukweli na uwazi, kitu ambacho ni kinyume na CCM inayopenda kuambiwa uongo, kwani ukweli unauma.
 
Back
Top Bottom