Ushahidi Mwanana huu hapa
Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua
Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni...
Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025
https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl
=============================================================...
Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa...
Sasa yamewadia majira na nyakati za watu kupata majibu ni kwanini Mch Josephat Gwajima aliiamua kuingia kwenye siasa za tawala za nchi hii kwa 100% tena kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM uamuzi...
Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu...
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe...
Serikali imesema tayari imejiandaa kikamilifu kujiimarisha kimapato ili kukabiliana na hali yoyote iwapo misaada kutoka kwa nchi wahisani itapungua.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo, Jumatatu...
Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande.
Nadhani lead counsel...
Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!
Ogopa Sana wakati wa Mungu
Ogopa Sana...
Leo ikiwa ni tarehe 2 juni 2025 tunatarajia kusikiliza tena Kesi inayomkabili Mh Tundu Lissu Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Mshtakiwa anakabiliwa na makosa ya Uhaini, kuchapisha na kutangaza...
Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa,
Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge...
SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000
📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255
📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi
📌Mradi...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya...
Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama...
Sikuwa nikielewa upande wa mleta shitaka na mshtakiwa live wakiwa wanatoa hoja zao. Nilionai wakiinyenyekea mahakama kwa kiasi kikubwa mno upande wa utetezi, nilisikikiza kwa muda mrefu lakini...
Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.