Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo...
2 Reactions
3 Replies
756 Views
Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao. Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi...
3 Reactions
6 Replies
730 Views
Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe...
3 Reactions
10 Replies
715 Views
habari, mnaruhusiwa kucheka kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)? hii haikubaliki 😂 Watanzania tunatakiwa...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
15 Reactions
83 Replies
4K Views
My Take Kadiri Chadomo na kina GwajiBoy watazidi kuvuja mapovu ya chuki na wivu ndivyo SSH anazidi kujizolea matuzo kama yote. Ushauri kwao,kuliko kuhangaika na Samia ambae hamna uwezo wa...
1 Reactions
4 Replies
365 Views
Ukifuatilia vizuri matukio mengi yanayoendelea nchini ambayo, utagundua Polisi ndiyo chanzo kikuu cha vurugu. Kauli za viongozi wa Polisi wanapokuwa wakionya na kukataza jambo fulani kutokea...
3 Reactions
3 Replies
442 Views
Ukienda mahakama kisutu ukakuta umezuiwa kuingia usijibanze mbele ya maduka kama CHADEMA walifanya utabondwa na Polisi unazuia biashara Kazi ya polisi si kulinda usalama tu pia ni kuhakikisha...
1 Reactions
65 Replies
2K Views
Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona...
25 Reactions
98 Replies
4K Views
Siku kesi ya Lissu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi. Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio...
-2 Reactions
35 Replies
1K Views
ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amesema ataenda kumuangalia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu gerezani licha ya mambo yaliyojitokeza baina yake na chama...
4 Reactions
6 Replies
857 Views
Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Waandishi wa habari zaidi 15 kwa nyakati tofauti wamezuiwa kuingia Mahakamani na kuamriwa kukaa mbali na viunga vya Mahakama ya Kisutu, ambapo wameambiwa kuwa wameruhusu waandishi wa habari 10...
0 Reactions
10 Replies
916 Views
Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Chadema itaungana na ACT wazalendo Magwajima nao wataenda ACT wazalendo Mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa UKAWA 2015 Tukumbuke hatutakuwa na Hazina ya Mkapa wala maalim Seif zamu hii Mwenye...
2 Reactions
15 Replies
765 Views
Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika...
22 Reactions
62 Replies
4K Views
Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Back
Top Bottom