Mzee wa upako unafananisha katoliki na Bongo freva church zenu hizo except Gwajiboy church in Tanzania ?
Nioneshe balazo au mjumbe wa NYUMBA kumi wa kanisa lako nchi yoyote Ili nikwambie yakuwa...
The European Union has officially banned all air carriers certified in Tanzania from operating within its airspace due to serious safety oversight deficiencies
The decision was announced on June...
Kimsingi kwa maoni yangu TUNDU LISU alikuwa anatufaa katika nyakati hizi sababu kubwa ni kwamba waliopo madarakani sasa hivi ukikosoa unaitwa mhalifu na kutekwa.
Watu wengi ambao wameikosoa...
GT
Uchaguzi wa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.
Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo...
Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti...
Wakuu,
Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku...
Ndugu
Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .?
Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa...
Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima?
====
Wakili wa utetezi wa...
Niko hapa Citizen tv nasubiri mjadala wa Gwajima kwenye News Gang
Ukiweza kunijibu swali hapo juu nitashukuru kwani siku hizi hata Kanisa Moja Takatifu la Mitume kuna michango kibao tofauti na...
James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa...
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!
Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu...
Friends and our Enemies,
Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya...
Imeandikwa na: Adv Tito Magoti
Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Salaam Wakuu,
Mifereji ya damu za binadamu inayoelekea Kizimkazi.. Kila mtu kaiona
Kila Mtanzania anayo haki ya kuchagua chama. Hata kuwa CCM sio tatizo.
Ila tatizo linaanza pale kija chini ya...
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na...
Naandika Uzi huu huku Nikiwa nimegubikwa na huzuni nyingi na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu imekuwaje?
Ile nchi tulioisifu kwa mapambio, tungo na ngonjera za kuvutia kwani kuna laana...
Sasa ni rasmi Tanzania imechafuka kimataifa, baada ya wana harakati kutoka nchi mbalimbali kuungana kulaani kitendo cha ulawiti wa Wanaharakati kutoka nchini Kenya na Uganda kilichofanywa na...
Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa.
Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii...
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...
Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.