Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu habari za muda huu. Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack...
17 Reactions
57 Replies
4K Views
Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Nipo Chato sisemi uongo Gwajima anafatiliwa vibaya mno Nina washaurini sana mtu pekee ambae anaweza kuja kanda ya ziwa akashindana na wapinzani wa kweli sio Akina Chaumma ni Gwajima Ila nyie...
5 Reactions
14 Replies
903 Views
Hebu cheki 1. CHAMATA Chawa wa Mama Tanzania 2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival 3. Samia Boxing 4. Samia Kings 5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo) 6. Samia .... 7. Samia ..... 8. Samia...
24 Reactions
90 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa...
13 Reactions
95 Replies
6K Views
Sijui msikitini ikoje lakini Kanisani Chama cha siasa hakiwezi kupandikiza mtu wake labda kwenye hizi huduma kama za akina Mwamposa lakini siyo KKKT, Anglican au Katoliki Kanisa linadumu milele...
1 Reactions
3 Replies
208 Views
Msururu wa dalili zisizo na shaka kutoka ndani ya mfumo wa kisiasa wa China katika miezi ya hivi karibuni zinaonyesha kuwa nguvu ya Xi Jinping madarakani inadhoofika na kwamba kuondolewa kwake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania. Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja...
2 Reactions
10 Replies
516 Views
Sehemu kubwa ya hawa wote niliowataja, ndo wanachochea matumizi ya vyombo ya ulinzi ktk amani ya nchi. Bahati mbaya baadhi yao hawakwenda jeshini kwa kukwepa sheria iliyokuwepo. Yawezekana kabisa...
3 Reactions
6 Replies
502 Views
Mtaendelea kudhalilika hadi lini? Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu? Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila"...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Hakuna kitu Duniani binadamu anakipenda kama Haki, na hakuna kitu duniani anakichukia kama kudhurumiwa, kuonewa kunyanyaswa na kuibiwa tena awe hana chakufanya. Wananchi wengi sana walikuwa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa. Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini. Je ameamua kutudhira watanzania?
1 Reactions
21 Replies
1K Views
"Leadership is a matter of intellect and vision, not gender. Only the uninspired waste time debating chromosomes instead of competence."-Alloyce, P.R.
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi serikali kupitia mapato ya ndani pamoja na fedha za wahisani Imewekeza mabilioni ya dola na na matrilioni ya shilingi kwenye tasnia ya siasa ili kuikuza...
4 Reactions
5 Replies
405 Views
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie...
47 Reactions
687 Replies
50K Views
Back
Top Bottom