Imeandikwa na: Adv Tito Magoti
Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Salaam Wakuu,
Mifereji ya damu za binadamu inayoelekea Kizimkazi.. Kila mtu kaiona
Kila Mtanzania anayo haki ya kuchagua chama. Hata kuwa CCM sio tatizo.
Ila tatizo linaanza pale kija chini ya...
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na...
Naandika Uzi huu huku Nikiwa nimegubikwa na huzuni nyingi na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu imekuwaje?
Ile nchi tulioisifu kwa mapambio, tungo na ngonjera za kuvutia kwani kuna laana...
Sasa ni rasmi Tanzania imechafuka kimataifa, baada ya wana harakati kutoka nchi mbalimbali kuungana kulaani kitendo cha ulawiti wa Wanaharakati kutoka nchini Kenya na Uganda kilichofanywa na...
Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa.
Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii...
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...
Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa...
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA...
"Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa...
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos...
Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana.
Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua
1. kwa nini kuna nchi zipo vitani
2...
Habari yenyewe inaanza kwa kusomeka hivi:-
"Ktk hali isiyokuwa ya kawaida, jasusi toka mbinguni lamkimbia mama. Ni maajabu na kweli, lkn yametokea. Jasusi toka peponi laufyata kwa mwanamke. Japo...
Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k.
Nadhani ni muda sasa wapumzike.
William Lukuvi
1995 -2025...
Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama...
Mbunge wa viti maalum Riziki Said Lulila wakati akichangia bungeni Juni 4, 2025 kwenye wizara ya fedha ametaka fedha zinazoingia nchini zikaguliwe ili zisije kuingia kwenye matumizi yasiyofaa na...
Ni mwisho wa mazungumzao baada ya habari.
Viongozi wa Tanzania hawawajali walimu wao au walimu kwa ujumla ,Ni viongozi wangapi walioko kwenye serikali wanawakumbuka walimu wao, Hivi anashindwa...
"Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo...
ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa.
Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.