Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo
1. Vikao...
Kama unaelewa mambo ya protocol utaelewa ninachosema Juu ya Mtu kuaminiwa na Mamlaka ya Juu kabisa
Mbowe akiwa wilayani Hai alimkabidhi mchungaji Kiongozi Mchango wa Tsh 150 million kutoka kwa...
Akizungumza baada ya kuwasili nchini leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R kinachonadiwa na Rais Samia na wapambe wake ni uongo mtupu.
Hakuna cha 4R...
https://youtu.be/8RLQbwTTqTU?si=rcVAi6NXBIxw43aW
➡️Kumbe binadamu anaweza kubadilika kutoka kuwa mtu mwema na kuwa mtu mbaya na katili sana aieseee...
➡️Kwenye video hii hapo anaonekana Hayati...
Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira Hamad Masauni ameeleza kuwa falsafa ya maridhiano ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan zimejenga umoja wa kitaifa, mapenzi na undugu bila...
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika...
Mara nyingi mhe. Rais alipokuwa akishika mic kimataifa alikuwa akijisifia namna alivyo rudisha demokrasia nchini hasa kupitia 4R zake.
Sasa kwa kukamatwa Tundu Lissu mwenyekiti wa chama kikuu Cha...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo
Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa
zenye swali...
Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia...
Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1...
Ubunge kwa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji".
Je Makonda ana asili ya...
Hongera Gwajima. Acha wajinga wakushambulie lakini watanzania wenye akili tumekuelewa
Gwajima ameagana na nyonga kabla ya kukimbia. Haikuwa rahisi kujitokeza hadharani kwa desturi ya nchi yetu...
1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/...
Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani...
Sayansi ya Yuda Iskarioti huwa inafikirisha sana
Yesu Kristo aliwaambia Mitume “ mmoja wenu atanisaliti ingekuwa ni Heri kwake mtu huyo kama asingelizaliwa”
Lakini Yuda pamoja na onyo...
Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani...
Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa...
I will be short
Majimbo yanazidi kuwa mengi , gharama zinakuwa kubwa . Hizi pesa serikali Itatoa wapi ?? Majimbo mengi Inchi mdogo . What’s going on ??
Hapo Dc na RC . A Naongea na wabunge 3-4...
Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.