Nimeshitushwa na umati wa Wasichana waliojitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, huku Tandika Mwembeyanga, wasichana na akina mama wametia fora.
Lakini baada ya timu yetu kuanza...
>>Video iliyokuwa inaeleza uhalisia na uamusho kwa binadamu waliolala na kuoteshwa imefutwa mtandaoni >>>>
### Utangulizi
Wazo la "Matrix" limejikita katika tamaduni maarufu tangu kuanzishwa...
Hapa kuna hotuba ya kishetani iliyojaa mawazo na hisia, iliyotolewa na P. Diddy na kuongezea kina katika muktadha wa kutafakari kuhusu roho na nguvu:
---
Katika giza la usiku, tunakutana na...
Tunato wito kwa Bunge lijadili maombi ya kuundwa Tume ya Bunge ya kuchunguza utekaji na mauaji ya mamia ya raia yaliyotolewa na taasisi za kijamii, viongozi na yale yaliyo wasilishwa rasmi na...
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na...
Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu", mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu Binafsi na chief of staff wa Rais Hayati Mwalimu Julias Nyerere
Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa.
Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao.
Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira...
Salaam!
Nimekaa hapa najiuliza, watu wale walioingiza haramu mahali patakatifu, wakazima taa na kutoa mkongoto, wangefanikiwa kumkamata mtu yule na kuondoka naye,
Je, wangemfikisha kituoni akiwa...
Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye...
Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video...
Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito.
Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za...
ANGALIZO MAHSUSI:
Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..
Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na...
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!
Wengine...
GT.
Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa.
CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka...
1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana.
2. Tanzania ni kisiwa cha...
Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amedai kuzuiwa kusafiri nje ya nchi leo mchana katika mpaka wa Namanga wakati akielekea Nairobi, Kenya.
Lema...
Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu.
Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama...
Natoa tu angalizo maana naona Chadema wameungana na Wahuni wa nchi jirani kuchafua hali ya hewa mitandaoni
UVCCM mko wapi kuwashughulikia hawa wazushi? 🐼
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya oparesheni, amesema: "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi, ndiyo oparesheni ya Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.