Mara nyingi mhe. Rais alipokuwa akishika mic kimataifa alikuwa akijisifia namna alivyo rudisha demokrasia nchini hasa kupitia 4R zake.
Sasa kwa kukamatwa Tundu Lissu mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA hii imeenda kuondos dhana nzima ya 4R za rais.
Tundu Lissu anataka Reforms za uchaguzi ili uchaguzi uwe wa uhuru na haki, lakini kwenye 4R za rais R mojawapo ni Reforms lakini kwa makusudi, viongozi wanahisi hizi reforms anazodai Lissu kazileta mwenyewe pasipo kuzingatia hili ni takwa la wananchi kupata mabadiliko juu ya mifumo ya siasa, uchumi na ya kiuchaguzi nchini.