Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye...
Nauliza tu kama utaratibu wa Madalali wa siasa yaani Chawa unatumika na huko Chadema
Pale Lumumba hadi Lucas Mwashambwa ana Vichawa vyake na yeye mwenyewe ni Chawa daraja la v
Nawatakia Sabato...
Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema.
Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa...
Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda...
Bilionea Mo Ibrahim anasema 70% ya bajeti ya umoja wa Afrika AU inatokana na michango ya wazungu.
Mo anasema wazungu hao wakitoa fedha za misaada tunawaita washirika wa maendeleo ila wakihoji...
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya...
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’
Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la...
Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini...
Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza...
Kabla hata Hiyo Tume haijatangaza tarehe ya kutoa fomu, tayari ccm washatangaza.
Hii maana yake ni kwamba ama ccm wanaipangia Tume au Tume inaripoti kwa ccm kwanza kabla ya popote.
Ni aibu...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji...
"In the journey to Election 2025, you may fail to win votes, you may lose allies or even battles, but never fail your mind, never lose your reason. For when the mind stands firm, leadership can...
Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao...
Viongozi wa dini mnao hamasisha Amani Mnashindwa nini kuhamasisha Haki.
Haki ikitawala mambo Mengine yote yatafuata ikiwepo hiyo amani mnayoihamasisha.
Kiongozi wa dini unaanzaje kuiona amani...
Nimeuzunishwa mno kwa Siasa chafu ambazo zimekuwa zikiendelea sehemu mbalimbali Kanda ya ziwa,zikisimamiwa na chadema kwa siri ili kukejeli vyama mbali mbali vinapofanya kampeni zake au...
Habari za uzima uzima wapendwa
Leo nipo na swali kama linavyosomeka hapo juu mie sio mfuatiliaji mzuri wa hivi vyama vya siasa ambavyo havieleweki vizuri, sasa kwa siku za hivi karibuni...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa...
Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi.
Ningeshauri Waumini wa kanisa...
SHEMSA MOHAMED: CCM TUPO SIMIYU KUHAKIKISHA SERIKALI INATEKELEZA MAJUKUMU KWA WAKATI
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kutoka Mkoa wa Simiyu, tarehe 4 Juni 2025 wamefanya ziara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.