Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sensema Wananzengo Jukwaa lisichukuliwe kama jukwaa la mbao tu - lile la kampeni, jukwaa ni neno lenye uwanda mpana, kuanzia jukwaa la mbao, jamii forum, twitter, redioni, youtube n.k hayo yote...
1 Reactions
7 Replies
686 Views
Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku , Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku . Je na nyie hamna uchungu na sisi? Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta...
5 Reactions
6 Replies
467 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanabodi Nimesoma bandiko hili humu jf News Alert: - Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi Bandiko hili...
22 Reactions
62 Replies
5K Views
Salaam! Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama. Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
"Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi...
1 Reactions
10 Replies
612 Views
Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa...
0 Reactions
4 Replies
316 Views
Je, kwanini CCM muda unavyozidi kwenda kinabadilika kutoka kwenye mwenendo na falsafa ya katiba ya chama? Nani anaidanganya CCM kuwa watanzania hususani watanganyika wataendelea kuvumilia uonevu...
0 Reactions
3 Replies
268 Views
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
#rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE...
2 Reactions
1 Replies
293 Views
Waziri wa JK kuburuzwa mahakamani WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, aweza kufikishwa mahakamani, kujibu shitaka la utapeli. Anatuhumiwa kumtampeli raia kutoka Korea, Chris...
5 Reactions
70 Replies
17K Views
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku...
12 Reactions
67 Replies
3K Views
Rais Magufuli amezungumza hayo akiwa Mkoani Njombe akiwahutubia wananchi wa maeneo kutokana na kero alizoambiwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke juu ya wawekezaji kupata...
8 Reactions
122 Replies
19K Views
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli? Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere...
18 Reactions
79 Replies
4K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa...
-13 Reactions
115 Replies
6K Views
Back
Top Bottom