Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko...
Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa.
Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa...
Wakati joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda, matumbo ya waliopendekezwa na mikutano mikuu ya majimbo na kata nayo yanazidi kupata moto.
Ni siku kadhaa zimepita tangu mchakato wa kura za maoni...
Kuna maneno nimemsikia katibu akiongea wakati Tundu Lissu anakabidhiwa fomu, nikaona ni busara ya hali ya juu sana ambayo hata Madiwani na watia nia Ubunge wangepewa hiyo fursa.
Nimemsikia...
Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini...
CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA.
Na, Robert Heriel
Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA...
Kwanza kwenye vita hakuna kulemba hata sisimizi ni wa kumfinyanga finyanga.
CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda...
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1. Dar-es-Salaam (anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2. Arusha(75-80%)
3...
Acha kabisa!
Watu wanajipanga na hoja maridhawa. Inaonesha kabisa CCM wataula wa chuya kwa kuzuia ile mikutano. Unajua ni kwa nini nasema hivyo?
Ni kwamba watu washaona kuwa kwa muda mrefu wao ni...
Nataka kuwashauri viongozi wakuu wa vyama hivi vya upinzani ambavyo vinaonekana kukikosesha usingizi chama chetu cha CCM upande wa bara na Visiwani.Msikosee hapa kwa tamaa za muda mfupi, kuweni na...
Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya...
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo...
Kati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi.
Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani...
Baada ya kumuona Membe amechukua fomu ya Urais leo, nimehitimisha hakuna kuungana Kati ya Chadema na ACT licha ya vyama hivyo kupigia debe suala hili kabla hata ya mchakato wa uchaguzi...
Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii:
30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a...
Habari wana JF!
Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na...
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga...
Nina maono ya mbali sana wanabodi.
Ninamwona Mh Lissu akiwa na nguvu kubwa ndani na nje ya nchi
Namwona akibebwa na wananchi wengi,
1. Wasomi, hawa wanampenda kwakuwa waneuona ukweli na uwazi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.
“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.