Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi (NEC) mjipange vizuri kiusalama kuhusu wadukuzi wa matokeo yatakayokuwa yanatumwa kwenu

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,086
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .

Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
 
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.

Mbona Lumumba hamjiamini sana??? Tatizo liko wapi???? Si mnasema Tume wako vizuri??!

Kweli Lumumba mna hali mbaya sana mwaka huu!!
 
Kama huelewi kilichoandikwa ni bora kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya
 
Nina wasiwasi na yule puppet aliekua ubelgiji,ndio maana akasema ataingia mtaani,utasemaje hivyo hata kura hazijapigwa?
 
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Uoga wa nini na mgombea wenu anakibalika amefanya mengi tokea tupate uhuru?😊😂😂😂
 
Back
Top Bottom